Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣 nikujibu au nikuache?Mbona hata hatuna taarrrifa jjaammaannii😕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 nikujibu au nikuache?Mbona hata hatuna taarrrifa jjaammaannii😕
hapana siwezi mzingua mpendwa huyu katika familia ya Mungu, ni muungwana na mnyenyekevu sana kwangu na kwa wengine pia, ni neema ya kipekee sana hiyo. na kwakweli napata nguvu sana za kumuombea kila wakati...Ww unapenda kumzingua dada angu 🤣🤣🤣
Basi usijali Easter haiko mbali uje K nakuandalia mbuzi choma 😂christmas nimeila mwailubi😂
Sijawauza jamani, msijali wote nawahakikishia warembo wenu watarudi kwenu!!!Mmh. Naogopa kusema ulikuwa fungate na" K" ukatuuza. Kaka yako @ Zulu man anajua. 😂😂🏃♂️🏃♂️
ngoja nizame kwa maombi kwanza, halafu nizoom hali ya maandamano itakuaje katika ulimwengu wa roho kisha nitoe ushauriUsafi ni jmosi ya mwisho ya mwezi tunajua, kesho ni maandamano 😂
Nijibu PM ili PM yangu ioshe nyota maana imechakaa na vumbi🤣🤣🤣🤣 nikujibu au nikuache?
Lamomy wellcome back punguza vurugu basi ili utengeneze profile yako iliyo bora. Vurugu na vita na maneno yasiyo na staha yanashusha thamani ya hii I'd yako.
View: https://www.youtube.com/watch?v=vNey0PR46F4
🤣🤣🤣🤣Mpambe nisharudi na safari hii mama mchungaji lazima umpate haiwezekani akusumbue toka mwaka jana, tumeingia mpya bado anasumbua 🤣🤣🤣
Tayana-wog shosti huyu mtu mgodi umetema usije kusema sijakwambia
Wizzy yupo kajaa anawazoom 😂😂😂
Maombi tulishafanya ww kesho njoo mpitie na kaka Luka 🤣🤣🤣ngoja nizame kwa maombi kwanza, halafu nizoom hali ya maandamano itakuaje katika ulimwengu wa roho kisha nitoe ushauri
🤣🤣🤣Nijibu PM ili PM yangu ioshe nyota maana imechakaa na vumbi
😂😂😂 Haya nakujibu PMNijibu PM ili PM yangu ioshe nyota maana imechakaa na vumbi
Hahahaahaaa. Eti mtu ameokota gari kwenye mafuriko. Kuna vitukoSijawauza jamani, msijali wote nawahakikishia warembo wenu watarudi kwenu!!!
Naenda kuwachomoa mmoja mmoja kwa hao wezi wa wake za watu.!! Wenzao wanaokota magari, wao wako busy kuvizia wake za watu 😂😂😂
Sikuwahi kujua hili kama sissy na sis ni maneno mawili yenye maana tofauti ,Faidika na darsa la FaizaFoxy:
Kwa msamiati wa "slang" wa Kingereza "sissy" ni mwanamme mwenye mambo ya kidada (shoga).
Hapa unamuongelea mdogo wako wa kiume ambae ni "sissy"? Au wa kike ambae ni "sis"?
Nimeipenda signature yako. 😍😍😍
Habari ndo hiyo chakoriii😆Really!
WizooooSikuwahi kujua hili kama sissy na sis ni maneno mawili yenye maana tofauti
Bahati nzuri huwa silitumii hili Neno,
Nikitumia naandika kwa kirefu Sister.
Kumbe huwa tunaenda chaka na hatujui!
Baelezee baeleweHuyo ni mke halali wa Countrywide