Karibu baby sis

Karibu baby sis

Faidika na darsa la FaizaFoxy:

Kwa msamiati wa "slang" wa Kingereza "sissy" ni mwanamme mwenye mambo ya kidada (shoga).

Hapa unamuongelea mdogo wako wa kiume ambae ni "sissy"? Au wa kike ambae ni "sis"?
Asante sana Madam FaizaFoxy lakini sijawahi kuandika hivyo kabisa mahali popote zaidi ya Ms. ( Nikimaanisha Miss) hata hiyo Sissy sijawahi kabisa
 
Jamaniiiiii my baby Sis is back!

Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul.

Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, walio karibu na wewe watashuhudia hili.

Juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa black flowers nikajua ni wewe, nikamcheck fastaaa PM, I was so disappointed baada tu ya salam nikapata jibu"Mimi sio cute wife"🙄🙄🙄🙄🙄🙄nikamwambia sawa nikandoka kinyongeee, yaani I was surprised kajuaje namtafuta lamomy🤣🤣.

Welcome back kipenzi, am sure shostisto wako Missy Gf atakuwa anachekelea maana alikuwa kapooza kama ndegere mjane.

Karibu Tena beautiful, ila punguza wenge, usipigwe tena ma ban yasiyo na lazima usiwe kama mndewa Extrovert 😅. Am happy umerudi dogoake.😘
Hadi nimepata wivu
 
Back
Top Bottom