Karibu baby sis

Karibu baby sis

Ndugu yangu

Tunacheka hapa na Mr Mang'ombe kumbe mijitu inaumia
Inakuja kunitisha PM.
😳😳😳 Nani huyo anakuja kukutisha?! Yy km nani?! Hebu akwendreee zake jf yake hii?!
Km unamjua kamchukulie RB asikupe presha
 
😳😳😳 Nani huyo anakuja kukutisha?! Yy km nani?! Hebu akwendreee zake jf yake hii?!
Km unamjua kamchukulie RB asikupe presha
Eti niache ujinga

Yaani ujinga wafanye wengine halafu jitu linakuja kunitisha

Naona sababu ni kucheka ile siku😂😂😂😂.
Nina muda basi,ni kublock tu.
 
Lamomy dear nimejiona mie mtu mzima nawaza maisha yangu dunia imeisha , so Yesu ananikuta nimekigawa sina familia . Gari. Ela inayoingia kwa siku.mwezi.mwaka. mtu humu amekosa danga au amechefukwa anakuja kunidis aisee sina muda sina . Ndugu yangu angalia wimbo huu taarab utaelewa leila -sina muda huo
View: https://youtu.be/xxgf1tDf02A?si=8x5SEazn1wj49J8Z
 
Back
Top Bottom