Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ila huyo aliyekupiga mikwara ndo kanichekesha ๐๐๐Hizo za kwenye ule uzi hazihusiani wala na hiyo mikwara.
Ule mkwara naona ni mimi kucheka na Mr Mang'ombe ๐๐๐
Na alikuwepo anachat jukwaani humu..kisa mtu anagombana naye huko basi anataka kila mtu amaninie mang'ombe jamani.
Sielewi hata sababu nini,napokea vitisho eti niache ujinga...sasa sijui hapo nani ni mjinga.
Ule uzi bhana weee
Ngoja Cocastic shos mwamba wa miamba,Warumi wetu wa group atakuletea umbea.
Sasa tusicheke watu wa Mungu tunune midomo inuke?! Akwendree zake akafie mbele uko
Na huo uzi unaonekana ulikuwa moto sana?!! Haya mnipe hata intro bac
Wee udugu cocastic njoo nasikia ww ndio umerithi mikoba ya warumi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ