Karibu Dar es Salaam, njoo uyashuhudie

Karibu Dar es Salaam, njoo uyashuhudie

kuzaliwa mjini ni chuo kikuu tosha,kulazaliwa nje mji ni form six,kuzaliwa mkoani ni form four,kuzaliwa vijijini ni darasa la saba.
kutembea ughaibuni ni degree tosha
 
Picha ya kihindi tunasubiri steringi auwawe ...lakini wapi?!? 🤣 🤣
 
Sanaa ya uandishi, una jambo fulan ndugu unaweza kua mwandish mzuri wa film
 
Hii ndiyo Dar, mke wa mtu anatoka na gari nyumbani kwake, anafika analipaki Dar Free Market, kisha anapanda gari la mchepuko, wanakwenda kufanya yao. Mtu akiliona gari pale, anaamini yupo ndani kwenye manunuzi. Baada ya kazi anarudishwa palepale, anachukua gari lake, anaendesha kurudi nyumbani. Dar kwa ubunifu wa ngono watu wamefuzu.
 
Naona watu wa dar wanavyokuponda hadi nitakufa sitokanyaga jiji hilo nishaenda nchi 34 kupitia malawi na zambia
 
Mkuu ongezea ongezea, yaani wewe ni gwiji wa fasihi. Nimesoma yote na nimecheka sana. Una kipaji kaka!
 
Back
Top Bottom