Karibu Dar ushamba utoke

Karibu Dar ushamba utoke

Bk boy

Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
19
Reaction score
17
Daah wanaJF, natumai wazima

Twende kwenye point

Je, unakaa Dar?
Je, ushwahii kupotea njia?
Je, ushawahi kuibiwa?

Siku moja hivi nilikuwa na furaha mno daaah nikapanda daladala kwenda nyumbani kama unavyojua daladala za Dar ni kusimama, nilipofika kwenye kituo najisachi sina simu niliishiwa nguvu, nikajipa tumaini kuwa naota.

Ndugu yangu omba isikutokee.
 
daah wana jf natumai wazimaaa
twende kwenye point
je unakaa dar
je ushwahii kupotea njia
je ushawahi kuobiwaaa
sikuu moja hivii nilikuwa na furah mno daaah nikapandaa daladal kwnde nyumban kama unavyojuw dldl za dar ni kusimama kwend mbkwen nilpo fika kwenye kituo najisachi sina simu niliiahia nguvu nikajipa tumain kuwa naota duuh ngud yanguu omba isikutokeeee....comment
Usikimbie hivyo chalii relax kwanza halafu andika vizuri polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daah wana jf natumai wazimaaa
twende kwenye point
je unakaa dar
je ushwahii kupotea njia
je ushawahi kuobiwaaa
sikuu moja hivii nilikuwa na furah mno daaah nikapandaa daladal kwnde nyumban kama unavyojuw dldl za dar ni kusimama kwend mbkwen nilpo fika kwenye kituo najisachi sina simu niliiahia nguvu nikajipa tumain kuwa naota duuh ngud yanguu omba isikutokeeee....comment
Huo uandishi hata mwanangu wa Nursery hawezi kuandika hivyo
 
daah wana jf natumai wazimaaa
twende kwenye point
je unakaa dar
je ushwahii kupotea njia
je ushawahi kuobiwaaa
sikuu moja hivii nilikuwa na furah mno daaah nikapandaa daladal kwnde nyumban kama unavyojuw dldl za dar ni kusimama kwend mbkwen nilpo fika kwenye kituo najisachi sina simu niliiahia nguvu nikajipa tumain kuwa naota duuh ngud yanguu omba isikutokeeee....comment
Kwa staili hii Dar utapata shida sana!
 
Dogo una siku tatu tu jf hebu jifunze kwanza namna ya kuandika then uje utafute umaarufu, sawa ?
 
mwanaguu hata kama na siku tatu unaweza ukanielekeza so majibu ya rafu
 
Back
Top Bottom