Bk boy
Member
- Nov 18, 2022
- 19
- 17
Daah wanaJF, natumai wazima
Twende kwenye point
Je, unakaa Dar?
Je, ushwahii kupotea njia?
Je, ushawahi kuibiwa?
Siku moja hivi nilikuwa na furaha mno daaah nikapanda daladala kwenda nyumbani kama unavyojua daladala za Dar ni kusimama, nilipofika kwenye kituo najisachi sina simu niliishiwa nguvu, nikajipa tumaini kuwa naota.
Ndugu yangu omba isikutokee.