Karibu Elite Home Tuition Services ambapo tunatoa huduma za ufundishaji ukiwa nyumbani

Karibu Elite Home Tuition Services ambapo tunatoa huduma za ufundishaji ukiwa nyumbani

Home tutor Dar

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
126
Reaction score
156
Tunawafikia popote ulipo Tanzania!

Unahitaji mwalimu wa nyumbani (home tuition) kwa mtoto wako au wewe binafsi?

Tunatoa huduma bora ya kufundisha masomo yote, ngazi zote na mitaala yote (NECTA, CAMBRIDGE, n.k)

  • Darasa la awali hadi sekondari
  • Masomo ya sayansi, arts na biashara
  • Mitihani ya kitaifa (PSLE, CSEE, ACSEE)
  • Scholarship Preparation
  • Beginners & slow learners wanakaribishwa
  • Kozi maalum kwa watu wazima

Walimu wazoefu, wenye weledi na wanaojali maendeleo ya mwanafunzi

Tunapatikana Tanzania nzima — tunakufikia hadi nyumbani kwako!


Wasiliana nasi sasa kupitia WhatsApp: 0743567159


Huduma salama, za uhakika na zenye matokeo chanya!
Jiunge nasi leo — tusimamie mafanikio yako!
 
nyie ndo wezi wenyewe mnajidai home tuition kumbe unachora michezo. Tumestuka. Uza kitimoto tuje hapo kibandani ila home hapana aisee
 
Back
Top Bottom