Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

Karibu FAGO EXPRESS Kampuni iliyosajiliwa kwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa Bidhaa Kwa wateja, tupo big bon mkabala na msimbazi B mtaa wa mkunguni na Congo (KARIAKOO) upate huduma zifuatazo kila siku:

[emoji419] KUKUAGIZIA, KUKUCHAGULIA, KUKUSAFIRISHIA na KUKUFANYIA DELIVERY Kwa bidhaa zote kutoka CHINA & UTURUKI kwenda mitaa yote ndani ya Dar es salaam na mikoa yote Tanzania. Huduma hii unaipata FAGO EXPRESS PEKEE.

[emoji419]Nakutafutia bidhaa (SOURCING)pamoja na bei zake ndani ya soko CHINA & UTURUKI na majumuisho ya gharama zote mpaka kukufikia HATAKAMA HUNA FEDHA ZAKUTOSHA KUAGIZA UTAWEZA TOA ASILIMIA 50% NAZINGINE KUMALIZIA MZIGO WAKO UKIFIKA. HII UNAIPATA FAGO EXPRESS TU..USICHELEWE FURSA HII.

[emoji419]Baada ya bidhaa zako kufika Dar unakua na option ya wewe kuufata au kuomba utumiwe popote ulipo ndani ya Dar na Kwa nje kama mikoani Tunasafirisha kwa uharaka na usalama zaidi.

AGIZA BIDHAA KAMA:
-Simu aina zote
-vifaa vya simu aina zote mfano:
chaji,covers,protectors.
-Vifaa vyote vya kieletronic kama TV, SABUFA, SPEAKER, FRIJI, HEATER LAPTOPS, DESKTOPS nk
-Vyombo vya ndani aina zote HOME APPLIANCES
-Nguo za kiume za watu wazima aina zote
-Nguo za kike za watu wazima aina zote
-Nguo za watoto aina zote
-Nguo za ndani aina zote mfano chupi,sidiria,boksa nk
-Urembo aina zote kama heleni,bangiri,kacha,saa nk
-Vipodozi na mawigi
-Vifaa vya stationary aina zote.
-Vifaa vya ushonaji aina zote kama cherehani,vitambaa,vitenge,sindano,nyuzi nk
-Material ya furniture aina zote.
-Vijora
-Mitumba aina zote
-CD na Movies kwa wale wote wenye library
-Hardware na Vifaa aina zote vya ujenzi.
-Spea za pikipiki na bajaji na viwandani
-Baiskeli aina zote
Betri na matairi aina zote nk
-Mashine za bekari
-Vifaa na material ya keki aina zote.
-Mapazia na mashuka aina zote.
-Mabegi,pochi na mikoba aina zote
-Viatu aina zote
-Na bidhaa zinginezo ambazo sijataja hapa.

MAWASILIANO: +255765018958 (PIGA/SMS/WHATSAPP).

Karibu sana kwa huduma bora na za uhakika kila siku 24/7.

Uaminifu ni mtaji,okoa muda na gharama za nauli kwa kutuagiza sisi bidhaa aina zote kutoka China & Uturuki nakuleta ndani ya Dar es Salaam na mikoa yote Tanzania kila siku.

Karibuni nyote, for inquiry unaweza uliza nitakujibu.
Toeni matangazo yenye mfano wake
 
Habari JF Family naziidi kuwapa asante Kwa wateja mlioagiza nami Week hii nzima.

Furaha Yangu ni kuona mnapata mizigo yenu Kwa wakati.. nashukuru mno Kwa kuamini Fago Express na kuniamini mm..

Call/text WhatsApp+255765018958
Drone mnasafirisha kwa $ ngapi? Au inaingia kwenye categorya ya vilipukizi?
 
Tunatambua na tunaheshimu mzunguko Wa pesa Kwenye Biashara, hivyo tumejikita Kwenye uharaka Wa kuwahisha mizigo ili kuhakikisha tunawezesha mzunguko Wa pesa Kwenye Biashara Yako UNAENDA KWA haraka pia.

Kazı ya kusafirisha mizigo Kutoka CHINA [emoji630], UTURUKI [emoji1250] Kuja TANZANIA [emoji1241] ni kazı ya MUDA, hakuna MTU anayetaka kuchelewa katika jambo lake, lazima tusimamie uharaka ili mambo Yako yafanikiwe Kwa haraka

Kwa mizigo ya meli Tunatumia siku 30-40 Kutoka china, uturuki hadi Tanzania.

Kwa mizigo ya ndege Tunatumia sıku 3-7kwa mizigo ya normal kawaida na sıku 14 Kwa mizogo ya HK

Ili tuweze kusafirisha mzigo/mizigo Yako, unatakiwa kuchukua address ya Warehouse zetu umpatie supplier WAKO, atatuletea Mzigo WAKO hapa CHINA au UTURUKI na tutasafirisha mpaka TANZANIA..

For business/inquiry piga +255765018958
 
Vipi kuhusu utapeli? Maana tunapigwa kinomaaaa hiii mambo
Tuko regulated, interms za usalama Wa Mali/mizigo yako inafika bila hassle kubwa. Ikitokea umepotea/ imeharibika tunakukompaseti gharama zako .

Kutokana na insurance tulio nayo
 
Karibu FAGO EXPRESS Kampuni iliyosajiliwa kwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa Bidhaa Kwa wateja, tupo big bon mkabala na msimbazi B mtaa wa mkunguni na Congo (KARIAKOO) upate huduma zifuatazo kila siku:

[emoji419] KUKUAGIZIA, KUKUCHAGULIA, KUKUSAFIRISHIA na KUKUFANYIA DELIVERY Kwa bidhaa zote kutoka CHINA & UTURUKI kwenda mitaa yote ndani ya Dar es salaam na mikoa yote Tanzania. Huduma hii unaipata FAGO EXPRESS PEKEE.

[emoji419]Nakutafutia bidhaa (SOURCING)pamoja na bei zake ndani ya soko CHINA & UTURUKI na majumuisho ya gharama zote mpaka kukufikia HATAKAMA HUNA FEDHA ZAKUTOSHA KUAGIZA UTAWEZA TOA ASILIMIA 50% NAZINGINE KUMALIZIA MZIGO WAKO UKIFIKA. HII UNAIPATA FAGO EXPRESS TU..USICHELEWE FURSA HII.

[emoji419]Baada ya bidhaa zako kufika Dar unakua na option ya wewe kuufata au kuomba utumiwe popote ulipo ndani ya Dar na Kwa nje kama mikoani Tunasafirisha kwa uharaka na usalama zaidi.

AGIZA BIDHAA KAMA:
-Simu aina zote
-vifaa vya simu aina zote mfano:
chaji,covers,protectors.
-Vifaa vyote vya kieletronic kama TV, SABUFA, SPEAKER, FRIJI, HEATER LAPTOPS, DESKTOPS nk
-Vyombo vya ndani aina zote HOME APPLIANCES
-Nguo za kiume za watu wazima aina zote
-Nguo za kike za watu wazima aina zote
-Nguo za watoto aina zote
-Nguo za ndani aina zote mfano chupi,sidiria,boksa nk
-Urembo aina zote kama heleni,bangiri,kacha,saa nk
-Vipodozi na mawigi
-Vifaa vya stationary aina zote.
-Vifaa vya ushonaji aina zote kama cherehani,vitambaa,vitenge,sindano,nyuzi nk
-Material ya furniture aina zote.
-Vijora
-Mitumba aina zote
-CD na Movies kwa wale wote wenye library
-Hardware na Vifaa aina zote vya ujenzi.
-Spea za pikipiki na bajaji na viwandani
-Baiskeli aina zote
Betri na matairi aina zote nk
-Mashine za bekari
-Vifaa na material ya keki aina zote.
-Mapazia na mashuka aina zote.
-Mabegi,pochi na mikoba aina zote
-Viatu aina zote
-Na bidhaa zinginezo ambazo sijataja hapa.

MAWASILIANO: +255765018958 (PIGA/SMS/WHATSAPP).

Karibu sana kwa huduma bora na za uhakika kila siku 24/7.

Uaminifu ni mtaji,okoa muda na gharama za nauli kwa kutuagiza sisi bidhaa aina zote kutoka China & Uturuki nakuleta ndani ya Dar es Salaam na mikoa yote Tanzania kila siku.

Karibuni nyote, for inquiry unaweza uliza nitakujibu.
Bei zenu zipoje
 
Bei zenu zipoje
Tuna aina mbili ya mizigo NORMAL na ELECTRONICS

1. ELECTRONICS (mzigo wowote uliokuwa na

..liquid
..chemical
..oil
..battery
..dust
..magnetic

**Bei yake ni 13.5usd/kg

the rest ni normal goods bei. 11.5usd/kg
 
Back
Top Bottom