Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

Toeni matangazo yenye mfano wake
 
Habari JF Family naziidi kuwapa asante Kwa wateja mlioagiza nami Week hii nzima.

Furaha Yangu ni kuona mnapata mizigo yenu Kwa wakati.. nashukuru mno Kwa kuamini Fago Express na kuniamini mm..

Call/text WhatsApp+255765018958
Drone mnasafirisha kwa $ ngapi? Au inaingia kwenye categorya ya vilipukizi?
 
Tunatambua na tunaheshimu mzunguko Wa pesa Kwenye Biashara, hivyo tumejikita Kwenye uharaka Wa kuwahisha mizigo ili kuhakikisha tunawezesha mzunguko Wa pesa Kwenye Biashara Yako UNAENDA KWA haraka pia.

Kazı ya kusafirisha mizigo Kutoka CHINA [emoji630], UTURUKI [emoji1250] Kuja TANZANIA [emoji1241] ni kazı ya MUDA, hakuna MTU anayetaka kuchelewa katika jambo lake, lazima tusimamie uharaka ili mambo Yako yafanikiwe Kwa haraka

Kwa mizigo ya meli Tunatumia siku 30-40 Kutoka china, uturuki hadi Tanzania.

Kwa mizigo ya ndege Tunatumia sıku 3-7kwa mizigo ya normal kawaida na sıku 14 Kwa mizogo ya HK

Ili tuweze kusafirisha mzigo/mizigo Yako, unatakiwa kuchukua address ya Warehouse zetu umpatie supplier WAKO, atatuletea Mzigo WAKO hapa CHINA au UTURUKI na tutasafirisha mpaka TANZANIA..

For business/inquiry piga +255765018958
 
Vipi kuhusu utapeli? Maana tunapigwa kinomaaaa hiii mambo
Tuko regulated, interms za usalama Wa Mali/mizigo yako inafika bila hassle kubwa. Ikitokea umepotea/ imeharibika tunakukompaseti gharama zako .

Kutokana na insurance tulio nayo
 
Bei zenu zipoje
 
Bei zenu zipoje
Tuna aina mbili ya mizigo NORMAL na ELECTRONICS

1. ELECTRONICS (mzigo wowote uliokuwa na

..liquid
..chemical
..oil
..battery
..dust
..magnetic

**Bei yake ni 13.5usd/kg

the rest ni normal goods bei. 11.5usd/kg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…