Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

Imezidi hadi bei ya mtaani ambako unaipata bidhaa hiyo kwa Tsh 350K kushuka chini.
Nashukuru Kwa wazo lako, kutokana na uadimikaji Wa dollar katika mzunguko inapelekea wimbi hili la freight kupanda. Cost charges.

2. Bei ya hapa nyumbani kama IPO vizuri nakushauri ukafate huko. Asante
 
Nataka kuchukua mashuka na mapazia mnauzaje uko?
Habari@Twins love binafsi kampuni haihusikii na uuzaji Wa bidhaa yeyote, inatoa huduma yakukuagizia bidhaa kama uliyoigusia hapo juu, Kutoka Kwa masupplier tofauti tofauti na wao wanabei Zao kutokana na quantity unazohitaji
 
 
Normal (mizigo ya kawaida) rate ni $11.5/KG

HK (mizigo ya vilipuzi) mfn Simu, battery, mashine, liquids hizi ni $13.5/KG
Huduma zenu mbovu sana, hamna adabu na hamjali wateja. Simu hampokei leo siku ya 5, mizigo yangu ina 26 days hlf unasema unaagiza kwa haraka. Mwambie Jackson akafanye shughuli nyingine hakuna mtu atakaekubali ujinga na utoto mnaofanya. Kama mnakosa mpaka hela ya kutoa mpaka mizigo for a week ni mteja gani ataekubali kufanya biashara na nyinyi.? Seriously mmenikwaza na siwezi kumshauri mtu afanye kazi na nyinyi. Janja Janja nyingi sana
 
Kg 3 mzigo wa kawaida mtanisafilishia kwa shingapi hadi mbeya
 
Mr Spodo pole Kwa changamoto uliyopata, napenda kukujuza, hitilafu zilizojitokeza zinashughulikiwa. Tafadhali wasiliana nami katika namba hii+255765018958 au tunaeza litatua hapa ili iwe wazi.

Kindly share na mimi changamoto Yako nikusaidie. Tafadhali pia nisaidie tracking number kama unayo Kwa wepesi zaidi
 
900940093913 huu mzigo umefika 20th August wa HK na haujafika mpaka leo bado siku chache tu iwe mwezi
900940093957 huu umefika kwenu mwisho wa mwezi wa nane 26 mpaka 28 nao haujafika nao ni wa HK.
Mbaya zaidi hampokei simu wote mpaka mabinti zenu na mnazima pia.
Nipe sababu kwann sijapata mzigo wangu mpaka leo na haiko ndani ya muda tuliokubaliana kabla hujawaaminisha watu una huduma bora kuliko wengine.
 
Ngoja tumsubili aje sasa
 
Chief, nimeona Parcels zako Zote at ago zimefika tarehe 30th August 2023, nina attachments za tracking number Zote mbili.

Tulipata delays katika chain of command kuanzia huko China kuja mpaka huku Tz YOTE ikiwa rates zausafirishaji kupanda.

Na guarantee hii delay imeisha tayari na mpaka tunavyoongea tunafanya consolidation ya mizigo yote ije Kwa pamoja. Tunaomba radhi sana Kwa usumbufu uliojitokeza, ningeomba uwasiliane nami Kwa hatua zozote zile kutoka sasa. +255765018958 whatapp call/text


NB: nimeattach picha hope ni sawa kusecond your opinion..
 
Mkuu Tozonia kwenye aina yako ya biashara ukishaweka neno FURSA jua umeshakimbiza wateja muhimu ambao wao tayari wanataka huduma sio mambo ya FURSA.

Haimaanishi kuwa hautapata wateja, hapana. Wateja utawapata ila ni wale wanaojitafuta hawa huwezi waona kama wateja type A japo mbeleni wanaweza kuwa type A (kama wakifanikiwa biashara zao)

Mimi nakushauri mtafute huyu mdau Lewis MVincent kama bado haujamtafuta muongee haya masuala ya Marketing, nimemtaja hapa sababu yupo verified JF so anaweza kuaminika zaidi.

Pia kwa wewe Tozonia kuwa verified Mkuu au kama sio wewe basi hiyo kampuni yenu iwe na akaunti humu kisha iwe verified pia.

Kila la kheri
 
Una maanisha mizigo yangu haijafika Dar au imeshafika? Nijibu hili hlf nitakujibu kwa proof. Maana jackson na mul hat wamenieleza tofauti which ni uongo mpaka sasa hv hamna mlichofanya na simu mnazima au hampokei. Hapa ndio tatizo la kufanya kazi na kampuni changa kwasababu hawajui hata umuhimu wakupokea simu. Pili umetoa.namba yako nikupigie ni masaa mawili sasa hv namba iko busy.
Nachokuomba nieleze hapa mzigo wangu napata lini, tayari ina mwezi mmoja ikiwa kwenu.
Najua ww ni Tom, mwenzako jackson hapokei simu wala hajibu msg. Binafsi nimechoka na nadhani tutapelekana polisi tu.
 
Kaka simu yangu ipo hewani
Tafadhali reach out kuwa busy nikutokana hii simu inahudumia wateja wengine
 
Shukrani sana kwa kunirefer.🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…