BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
Kuna watu wana matatizo ya Miguu, msifanye kuwahukumu kwa sababu ya utembeaji wao.Huu MKOA unafaa kwa mambo ya biashara na kuishi watu wa huku siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine.
kauli mbiu ya GEITA ni "KARIBU GEITA na UTEMBEE KWA UKAKAMAVU".
Tikishaoa dada zenu tunawaleta Dar na tinawazalisha mfululizo, mbon hamzuii ?siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine.
Shida wabeshi ndo wanaotekekeza mauaji. MTU kakaa machimboni Miaka na Miaka hajaambulia chochote.Huu MKOA unafaa kwa mambo ya biashara na kuishi watu wa huku siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine.
kauli mbiu ya GEITA ni "KARIBU GEITA na UTEMBEE KWA UKAKAMAVU".
Wabeshi ndio Nani ?Shida wabeshi ndo wanaotekekeza mauaji. MTU kakaa machimboni Miaka na Miaka hajaambulia chochote.
Akipewa hela kidogo kutekekeza mauaji ni fasta na ni wavuta bangi Hatari hao watu
Wezi wa mchanga wa dhahabu na wachimbaji WadogowadogoWabeshi ndio Nani ?
ingawa sijaelewa lengo lako Geita ni mji wenye wageni wengi. Hao wenyeji ni wepi wale washamba wanaowaza kuuana?Huu MKOA unafaa kwa mambo ya biashara na kuishi watu wa huku siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine.
kauli mbiu ya GEITA ni "KARIBU GEITA na UTEMBEE KWA UKAKAMAVU".
Hata Njombe piaInasikitisha sana kama Geita muuaji anakutoa roho kwa malipo ya Elfu 50 tu
Ukiona mji una vibaka ujue huo mji una Hela, hakuna kibaka anakaa sehem hapana kituKatika maeneo ambayo si salama sana kwa biashara yako na hata kuishi ni GEITA.
+Vibaka ni wengi
+Huduma za afya zipo ili miradi
+Usafirishaji ni tatizo (barabara)
+Ulinzi duni
+Uhusiano wa wafanyabishara na halmashauri ni mbovu
+Huduma ya maji si rafiki
+Mpango mji hawatambui kazi yao
Povu [emoji36][emoji36] ruksa ila kiukweli ni afadhali hata ya mji wa Shinyanga [emoji263]
Slow_learner
Hivyo yaaniOgopa sana MKOA wenye dhahabu Kila Sehemu, yaani GEITA unaweza ukanunua kiwanja Leo kesho ukapigwa pesa nyingi uhame watu wachimbe dhahabu[emoji3][emoji3] GEITA IMEBARIKIWA SANA.