Karibu Geita na utembee kwa ukakamavu

Karibu Geita na utembee kwa ukakamavu

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
680
Reaction score
1,436
Huu MKOA unafaa kwa mambo ya biashara na kuishi watu wa huku siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine.

kauli mbiu ya GEITA ni "KARIBU GEITA na UTEMBEE KWA UKAKAMAVU".
 
Hamna lolote ni Regional officers tu bado hawako serious. Humu hakuna palipo shindikana.
 
Huu MKOA unafaa kwa mambo ya biashara na kuishi watu wa huku siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine.

kauli mbiu ya GEITA ni "KARIBU GEITA na UTEMBEE KWA UKAKAMAVU".
Shida wabeshi ndo wanaotekekeza mauaji. MTU kakaa machimboni Miaka na Miaka hajaambulia chochote.

Akipewa hela kidogo kutekekeza mauaji ni fasta na ni wavuta bangi Hatari hao watu
 
Inasikitisha sana kama Geita muuaji anakutoa roho kwa malipo ya Elfu 50 tu
 
Huu MKOA unafaa kwa mambo ya biashara na kuishi watu wa huku siyo legelege kama watu wa dar na mikoa mingine.

kauli mbiu ya GEITA ni "KARIBU GEITA na UTEMBEE KWA UKAKAMAVU".
ingawa sijaelewa lengo lako Geita ni mji wenye wageni wengi. Hao wenyeji ni wepi wale washamba wanaowaza kuuana?
 
Katika maeneo ambayo si salama sana kwa biashara yako na hata kuishi ni GEITA.
+Vibaka ni wengi
+Huduma za afya zipo ili miradi
+Usafirishaji ni tatizo (barabara)
+Ulinzi duni
+Uhusiano wa wafanyabishara na halmashauri ni mbovu
+Huduma ya maji si rafiki
+Mpango mji hawatambui kazi yao

Povu 😤😤 ruksa ila kiukweli ni afadhali hata ya mji wa Shinyanga 🌿

Slow_learner
 
Katika maeneo ambayo si salama sana kwa biashara yako na hata kuishi ni GEITA.
+Vibaka ni wengi
+Huduma za afya zipo ili miradi
+Usafirishaji ni tatizo (barabara)
+Ulinzi duni
+Uhusiano wa wafanyabishara na halmashauri ni mbovu
+Huduma ya maji si rafiki
+Mpango mji hawatambui kazi yao

Povu [emoji36][emoji36] ruksa ila kiukweli ni afadhali hata ya mji wa Shinyanga [emoji263]

Slow_learner
Ukiona mji una vibaka ujue huo mji una Hela, hakuna kibaka anakaa sehem hapana kitu
 
Ogopa sana MKOA wenye dhahabu Kila Sehemu, yaani GEITA unaweza ukanunua kiwanja Leo kesho ukapigwa pesa nyingi uhame watu wachimbe dhahabu[emoji3][emoji3] GEITA IMEBARIKIWA SANA.
 
Ogopa sana MKOA wenye dhahabu Kila Sehemu, yaani GEITA unaweza ukanunua kiwanja Leo kesho ukapigwa pesa nyingi uhame watu wachimbe dhahabu[emoji3][emoji3] GEITA IMEBARIKIWA SANA.
Hivyo yaani
 
Geita vijana n washamba sana wakishika hela n kununua ma kluger kama fashen, ukiwakuta bar sasa wamepanga cret za bia utadhan wakiagiza kwa kiasi hawata hudumiwa, Ngono iko nje nje sana na watu hawajal afya na usalama wao
 
Back
Top Bottom