Karibu Jean Baleke

Unaumiaje na galasa kama Hilo asee limefeli kwenye ligi dhaifu vile πŸ˜…πŸ˜œ
Pole huyu msimu wa 20/21 alimtangulia bwana ako mayele kwa ufungaji akiwa top scorer na goli 14 pale Congo haya kazana kulia
 
Phiri tiari
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Tuko 2023 hata Dejan alikotoka alikuwa bora..
Tupe current data acha kuja na longolongo....

Msonda goal....?
Baleke goal........?
 
Umchore nani mtakusanywa hoya hoya kutoka utopolo

Kwanza Kesho Kuna Jambo Tutawakumbusha Pale Kwa Mkapa Dhidi Ya Ihefu…Af Nyie Tutamalizana April 9.…Af Mwisho Tutaona Nani Atabeba Ubingwa. [emoji41]
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Tuko 2023 hata Dejan alikotoka alikuwa bora..
Tupe current data acha kuja na longolongo....

Msonda goal....?
Baleke goal........?
Musonda kwa ligi dhaifu ya zambia? Ambao mosses phiri aliweka utawala wake misimu yote akiwa mfungaji kinara halafu huyo bwanako akiwa na tugoli tumoja au tuwili msimu mzima? Kuwa serious basi we msukule
 
Pole huyu msimu wa 20/21 alimtangulia bwana ako mayele kwa ufungaji akiwa top scorer na goli 14 pale Congo haya kazana kulia
Mkuu punguza basi. Hizo data za magoli 14 alivyokuwa Tp Mazembe unazo? Hapa inaonesha kacheza mechi tano akiwa Tp Mazembe na ana goli 0
 
Musonda kwa ligi dhaifu ya zambia? Ambao mosses phiri aliweka utawala wake misimu yote akiwa mfungaji kinara halafu huyo bwanako akiwa na tugoli tumoja au tuwili msimu mzima? Kuwa serious basi we msukule
Tupe za huyo Baleke huko alikokuwa amefunga gori ngapi😜😜.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…