Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Unaumiaje na galasa kama Hilo asee limefeli kwenye ligi dhaifu vile 😅😜Kama umeumia hivi hebu toa huo mwiko huko nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumiaje na galasa kama Hilo asee limefeli kwenye ligi dhaifu vile 😅😜Kama umeumia hivi hebu toa huo mwiko huko nyuma
Pole huyu msimu wa 20/21 alimtangulia bwana ako mayele kwa ufungaji akiwa top scorer na goli 14 pale Congo haya kazana kuliaUnaumiaje na galasa kama Hilo asee limefeli kwenye ligi dhaifu vile 😅😜
Mkuu upo vizuri unafuatilia hadi ligi ya Lebanon.Mama yangu, mimi ni Yanga ila kwa hili Shambuliaji tumekwisha.
Atatufunga sana huyu. Kweli mtani kaamua.
Umchore nani mtakusanywa hoya hoya kutoka utopoloHehehe Hii Ndo Yanga Tulikuwa Tunawachora Tu Dadek!! [emoji41]
Phiri tiariMsubirini ajeeeee narudiaaa alikuwa anachezea taifa sio simba am yanga ndugu zanguuuniii
nazijua kwa undani kidoooogo msione wageni wanakuja wanaomba kuondokaa awapendiiii wnayokutana nayooo nnsirii zaooo muulizen haruna niyonzima...hao wanaigeria walikuwa moto leo wanaomba kukimbia
hizi tmu ziacheni tu musonda mnaemjua akija ajiopange msishangaee yatakayomkuta..ogopa neno MSUMARI
NI Zaidi ya Uhaiñi...ama uhujumu uchumi
😅😅😅 Tuko 2023 hata Dejan alikotoka alikuwa bora..Pole huyu msimu wa 20/21 alimtangulia bwana ako mayele kwa ufungaji akiwa top scorer na goli 14 pale Congo haya kazana kulia
Umchore nani mtakusanywa hoya hoya kutoka utopolo
Musonda kwa ligi dhaifu ya zambia? Ambao mosses phiri aliweka utawala wake misimu yote akiwa mfungaji kinara halafu huyo bwanako akiwa na tugoli tumoja au tuwili msimu mzima? Kuwa serious basi we msukule😅😅😅 Tuko 2023 hata Dejan alikotoka alikuwa bora..
Tupe current data acha kuja na longolongo....
Msonda goal....?
Baleke goal........?
Ntakujibu april 9Kwanza Kesho Kuna Jambo Tutawakumbusha Pale Kwa Mkapa Dhidi Ya Ihefu…Af Nyie Tutamalizana April 9.…Af Mwisho Tutaona Nani Atabeba Ubingwa. [emoji41]
Mkuu punguza basi. Hizo data za magoli 14 alivyokuwa Tp Mazembe unazo? Hapa inaonesha kacheza mechi tano akiwa Tp Mazembe na ana goli 0Pole huyu msimu wa 20/21 alimtangulia bwana ako mayele kwa ufungaji akiwa top scorer na goli 14 pale Congo haya kazana kulia
Tupe za huyo Baleke huko alikokuwa amefunga gori ngapi😜😜.....Musonda kwa ligi dhaifu ya zambia? Ambao mosses phiri aliweka utawala wake misimu yote akiwa mfungaji kinara halafu huyo bwanako akiwa na tugoli tumoja au tuwili msimu mzima? Kuwa serious basi we msukule
Nenda googleTupe za huyo Baleke huko alikokuwa amefunga gori ngapi😜😜.....
Hilo ni lopolopo halijui kitu...Mkuu punguza basi. Hizo data za magoli 14 alivyokuwa Tp Mazembe unazo? Hapa inaonesha kacheza mechi nne kwenye ligi na goli 0 View attachment 2482806
Huna unalojua upo kubuya ngada tu 😅Nenda google
Ntakujibu april 9
Mechi 11 magoli 3[emoji28][emoji28][emoji28] Upuuzi gani huu hebu tupe current data zake...
Vipi wewe uliekalia mwiko huko nyuma?Huna unalojua upo kubuya ngada tu 😅
Mbona hukunifunga last time tumekutana? Ila Utatulia muda ukifikaTutaona Kudadek Hii Yanga Ya Sasa Tufungwe Na Nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee bora ya huyu yule musonda misimu 5 goli 21 kweli kabisa tena striker la nguvu 🤣🤣