Karibu Jean Baleke

Hamna kitu, TP mazembe alikuwa anasugua benchi, kaja kwa mkopo kufufua kipaji
Alikuwa anasugua benchi TP Mazembe kumbe?[emoji848].Nikadhani walau wewe una taarifa sahihi kumbe ni wale wale tu
 
Mama yangu, mimi ni Yanga ila kwa hili Shambuliaji tumekwisha.

Atatufunga sana huyu. Kweli mtani kaamua.
Naona unajitia kidole na kuamua kunusa mwenyewe!!!
Hongera yako.
 
Alimtangulia alafu akatolewa kwa mkopo arabuni? Angekuwa mzuri si wangembakisha kwenye kikosi, acha bangi
Bishana na afsa wenu huyu
 

Attachments

  • 9F1E2315-7AF2-41B3-AE3B-4D84167BB905.jpeg
    27.5 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…