Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Nguvu moja..💪💪💪Mechi ya kirafiki Simba vs Mazembe alifunga goal la tikitaka dakika za 80+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu moja..💪💪💪Mechi ya kirafiki Simba vs Mazembe alifunga goal la tikitaka dakika za 80+
Alikuwa anasugua benchi TP Mazembe kumbe?[emoji848].Nikadhani walau wewe una taarifa sahihi kumbe ni wale wale tuHamna kitu, TP mazembe alikuwa anasugua benchi, kaja kwa mkopo kufufua kipaji
Naona unajitia kidole na kuamua kunusa mwenyewe!!!Mama yangu, mimi ni Yanga ila kwa hili Shambuliaji tumekwisha.
Atatufunga sana huyu. Kweli mtani kaamua.
Bishana na afsa wenu huyuAlimtangulia alafu akatolewa kwa mkopo arabuni? Angekuwa mzuri si wangembakisha kwenye kikosi, acha bangi