Karibu JF Mgeni. Naomba nikutambulishe kwa familia yetu

Duh!! Na sisi tunaotumia Real ID tunafanyeje ili tubadili ziwe fake mfano username?

Watakuja kusema ni walewale wa form 2, wakati baba zao wakija kwenye kikao wananipisha kiti nikae!
 
Pia nielekezeni ni jinsi gani naweza ku quote maneno machache kutoka kwenye kifungu cha mwanzisha uzi ili kukitolea maelezo (reply)
 
Ingelipendeza zaidi kama ningelifunzwa jinsi ya kumtag mtu!

Pia ile system ya kuchukua replies mbili au zaidi za wachangiaji na kuzijibu kwa mpigo mmoja kwa reply yako moja!
 
Na je, inawezekana kuwa na ID zaidi ya moja kwa email moja?
 
Hivi ni kweli kuwa ili uzi wako uonwe na kuchangiwa na wengi ni mpaka uwe na muda mrefu jf, make kuna watu wana ID za 2008, ndo naona nyuzi zao zina being viewed na watu 4M na replies si chini ya 10K
 
Mimi nina kibamia, nguvu zangu za kiume ni unga unga mwana, nikikipachika tako 3 tu wazungu hao, nikipiga kimoko leo ndio mpaka kesho kutwaa, mzigo mpaka ubustiwe kidogo kama betri ya gari.

Sina kazi sina badhi, kula kulala
Hapa niko kifua wazi, nimefua masempele yangu ya kauka nikuvae.
 
Noted...
 
Boom!!!
Nipo nipo maskini mimi , ila humu tunaitana makapuku....jf nzima mimi ndo jinga lao Sina gari, Sina pikipiki Wala mkokoteni....

Pia Sina elimu ya kutosha kama members wengine humu....

Ila life linasonga ......
Sio ww tu, hata mm. Kwanza ili niwe online, lazima nitumie wifi ya kanisa[emoji28]
 
Pia nielekezeni ni jinsi gani naweza ku quote maneno machache kutoka kwenye kifungu cha mwanzisha uzi ili kukitolea maelezo (reply)
Gusa comment ya huyo mtu, the bonyeza mshale ambao uko juu kulia. Itakupeleka Sehemu ya kuandika comment yako, lakin ubaoni kutakuwa na highlight ya mtu unayetaka kumquote. Ukiangalia utaona neno EDIT Kona ya chini kushoto, click hapo then utaweza kuedit comment yake ibaki maneno machache utakayo
 
Hivi ni kweli kuwa ili uzi wako uonwe na kuchangiwa na wengi ni mpaka uwe na muda mrefu jf, make kuna watu wana ID za 2008, ndo naona nyuzi zao zina being viewed na watu 4M na replies si chini ya 10K
Sio kweli. Ukiandika Uzi, wote tutauona. Atakayependa kuchangia, atachangia. Wengine wanasoma na kupita kimya kimya
 
Ingelipendeza zaidi kama ningelifunzwa jinsi ya kumtag mtu!

Pia ile system ya kuchukua replies mbili au zaidi za wachangiaji na kuzijibu kwa mpigo mmoja kwa reply yako moja!
Kumtag mtu, ingia sehem ya comment then bonyeza @, itakupeleka sehem ya kusearch. Utasearch mtu unayetaka kumtag, then utaclick jina lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…