Karibu JF Mgeni. Naomba nikutambulishe kwa familia yetu

Analyse ,shukhrani! Maelezo yako nimeyafanyia tutorial, kidogo nimeanza kuelewa matumizi ya hii social network, sasa naweza kumtag mtu na ku point maneno machache kwenye reply ya mtu!
[emoji120][emoji120][emoji120]

Kilichobaki ni kufungua fake ID isiyo na jina langu halisi ili nianze kuchambua nyuzi za siasa [emoji23][emoji23]

Pia mkuu, vipi kuhusu kama mtu unahitaji ku quote replies mbili kutoka kwa watu tofauti na kuchangia mawazo kwenye reply yako moja!?
 
Sio mpaka ufungue ID, omba Mods wakubadilishie jina. Waweke unalotaka.

Kuquote watu wawili au zaidi kwa pamoja. Click mtu wa kwanza, then wa pili alaf bonyeza mshale ulio juu kulia. Hapo utaweza kufanya unachotaka
 
Sijajua umetumia idea gani kuchagua ID yako, Ila tambua unatumia ID fake, lakini uwepo wako humu ni real, na yale yote utakayo sema humu, yatakuwa yanawakilisha uhalisia wako. So behave well.

Mgeni, katika Uzi wowote utakao anzisha humu, wale watu watano mpaka kumi wa kwanza kuchangia ndio wataamua Uzi wako uende vipi. Wao wakionesha kusupport ulichoandika, basi 80% ya wachangiaji watakaofuta watakusupport. Ila ukiona hao watu wamekucrash, basi mkuu watakaofata wanaweza kukunanga hadi ukahisi wanabeef na wewe, ilhali hawakujui.

Mgeni, humu JF kuna wapwa na mabinamu. Hawa watu ni nadra Sana kukuta wameanzisha Uzi. Ila ukisha anzisha Uzi wako, wao watakuja kuendesha kikao Cha familia kwenye huo Uzi. Yawezekana ulikuwa unaomba ushauri kuhusu maumivu ya jino au mshipa wa ngiri, Ila wao watakuwa wanaulizana "Mpwa umepotea sana siku hizi" au "Binamu mbona hadimu Sana?". Kipindi wewe unahitaji ushauri, kuna wengine utasikia wanasema " Ngoja waje" au " Subiria Mwongozo" Nakushauri usiwe na jazba, wazoee tu.

Mgeni, wanaume wote wa humu wanajua mapenzi na hakuna mwenye kibamia. Wakiwa kwenye 6x6 wanatumia minimum dakika 30 mpaka 45 kumuandaa mwanamke, then ndio inafata shoo ya kibabe. Sasa wewe ukija humu ukatoa maelezo chini ya hapo, jiandae kupokea kebehi na kuambiwa huna nguvu za kiume [emoji28][emoji28][emoji28].

Mgeni, pisi za humu zote ni kali na ziko well financially na hawaendeshwi na mapenzi. Sasa wewe ukija humu, epuka kusema umempiga mpenzi wako maana utanangwa sana. Watasema ww ni masikini, maana masikini ndio wanakuwaga na hasira hasira sababu ya ugumu wa maisha. Ukisema ujitetee, watabadili mada, watakwambia unakibamia, so nenda nao taratibu [emoji28][emoji28][emoji28].

Mgeni, tunatumia ID fake Ila be humble. Kuna member ni watu wazima Sana ila wakiingia humu wanakuwa kama watoto. Unaweza amua kutoa ushauri ukidhani unaongea na dogo wa form 2, kumbe unaongea na mtu ambae akienda kwenye kikao ambacho Mzee wako yupo, Mzee wako ataachia kiti kwa heshima [emoji28][emoji28][emoji28].

Mgeni, bado nakusisitizia kwenye humbleness. ID tunazotumia ni fake, Ila zinawakilisha uhalisia wetu. Ili jina ulilochagua kutumia humu, utalizoea tu kiasi kwamba ikitokea mtu nje na humu amekuita, unaitika vizuri tu as if ulibatizwa nalo. So usiwe fake Sana katika uongeayo au kuandika humu, kiasi kwamba siku unatatizo serious la kuhitaji ushauri, unalazimika kufungua account nyingine, maana official account yako inakusuta. Ukikaa Sana humu utajionea, Love Connect new ID inatafuta serious life partner, lakini ukicheki ule mwandiko ni kama wa member unayemjua kitambo tu, na mmekua mkikwaruana kwaruana miaka kadhaa jukwaani, sema huwa tunakausha, na wewe nakusisitizia ukishakuwa mwenyeji ukaushe.

Mgeni, humu watu tunamood tofauti tofauti kutegemeana na siku ilivyo. So, siku ambayo wewe upo stressed usilazimishe humu watu nao wawe stressed. Siku ukiwa na hudhuni, usitake members wote tuwe na hudhuni. Relax, know how to handle your stress. Maana usipokuwa makini utaongezewa stress.

Mgeni, wewe ndio umekuja, mengi huyajui. Ila humu Kuna kitu kinaitwa JF Get Together Party. Kwasasa hii party imekuwa dormant, ila nakuhikikishia, soon huko mbeleni itarudi. Sasa kwenye ile party, utaenda wewe kama wewe, fake ID itabaki kwenye servers za JF. Hapo ndo utakumbuka kwanini nimekuwa nakusisitizia swala la kuwa humble. Humu utajichetua behind ID fake, Ila pale utakuwa smart, well dressed, ila kwavile ndo mara ya kwanza tunakuona, ID yako ndo itakuelezea. Unaweza kosa connection kizembe, au kukosa future partner. Maana ID yako ndo itasema upoje upstairs. Utabadilishana contacts, then after party watu wanakuwa busy na threads zako, hapo ndo wanakufanyia assessment [emoji28][emoji28][emoji28].

Mgeni, ukiangalia Sana comments za humu, michango ya wadau na maelezo yetu, unaweza ukahisi JF ni forum ya diasporas tu, au ni watu kutoka sayari ya Mars au Jupiter. Ila nikutoe tu wasi wasi mkuu, ili usipate stress, wale unaopishana nao sokoni, kwenye Dala Dala, kwa mama ntilie, vibanda umiza, kwa mtogole,Buza manzese n.k ndio sisi sisi. Vyanzo vya taarifa zetu ni google, Wala hatujasoma kiviiile, tusikushtue kwa namna tunavyoichambua Hypersonic ya Mrusi.

Mgeni, kwavile umejiunga nasi naomba ujiandae kusikia baadhi ya maneno yakisemwa mara kwa mara. Mfano "JF imepoteza uhalisia,utoto mwingi", "JF ya kitambo haikuwa hivi". Nakusisitizia Sana, ukiona mtu amesema hivyo, Wala usisumbuke kuangalia profile yake amejiunga lini, na hata ukiangalia usimshangae eti anaongelea JF ya kitambo ilhali kajiunga mwaka jana. Majibu yao ni simpo tu "Nilikua guest user miaka mingi Sana, mwaka jana ndo nikaona nijiunge"

Mgeni, Nina mengi sana ya kukwambia. Ila naomba nikomee hapa, mengine watakuja kuongezea wadau. Lakini yale ya ndaani kabisa utayajua kwavile umeshaamua kujiunga nasi.

Baharia wa Nchi Kavu, kwa moyo mkunjufu naomba kukwambia,

KARIBU

Analyse
asant xana baharia nmeelew
 
Karibu mgeni,
Kuna members ambao kazi yao ni ku reply neno "chai" au "gahawa" au picha za chai na gahawa! katika nyuzi zako!

Wengine wana matumizi ya kauli changamoto za "Watakuja kusema huna akili ngoja waje..." kikubwa ni kuwazoea tu!

Ndugu mgeni, Maxence mello hajaweka limit za idadi ya nyuzi ambazo mtu anatakiwa kuanzisha kwa siku, ila kuna member uchwara, badala ajibu kinachofaa kutoka kwenye thread, yeye ataishia kusema "Dogo, thread ulizotengeneza zinatosha...", "Mkuu, acha sifa" n.k

Ewe mgeni, wana jf wote wana magari jitahidi uwe na gari hata la kuchora, Ewe mwanamke, hakikisha unakuwa financially stable, hata pesa za maboksi tafuta!

Mgeni wangu, wana jf wote ni wataalamu wa lugha fasaha na ya kifasihi, wanakicharanga kiswahili kama lugha yao mama, hivyo matumizi ya r na l yatakuponza kama usipokuwa makini

Ewe mgeni, trophy points ni kitu cha maana kwenye ID yako, lakini usishangae uka participate kwa uchungu kiasi gani lakini Maxence Melo akaishia kukupatia points 1000 tu!

Unaweza tengeneza uzi wako, uwafikie watu 200 tu kwa wiki mbili, lakini wakina Analyse ,DeepPond na Mshana Jr nyuzi zao zikawafikiwa watu 10M within 1 hr na reply zisizopungua 3k

Narudi baadae, ngoja nikayasake madhaifu!
 
Well said........nakupa 5.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapo mwisho mbona umenisagia kunguni mkuu?
 
Si mgeni lakini nimekuwa nje ya jukwaa kwa takribani miaka 10 ...hongereni JF imebadilika haswa ...nasi unalo lipi la kutufaa?
 
Skills yake kwenye uandishi ni high level..big up! umeongea Ukweli sana
 
Back
Top Bottom