Karibu JF!!!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,768
Reaction score
2,361
Ukitembelea mahali fulani kwa watani zetu, Kenya utakutana na usomi huu!!

Thanks for visiting us!!!
 
ballaaa kudadeki..... tehtehteh,......
 
Mkuu Gwakisa,
Sidhani kama hapa ni Kenya maana maneno ya chini yake ni ya Kibahasa (Malay) yenye maana ya hicho kiingereza kilichopinda. Huenda hapa ni Malaysia au Indonesia, maana hata wao kiingereza kimewakalia kushoto kidogo.
 
unajua sifa ya mtani hutupiwa kila taka ndo maana ya utani

kawawa toa kijiko hicho huu ni utani na sio ukweli nadhani unakumbuka enzi za mwalimu
 
THANGS!!
Mkuu Wakenya kweli watani zetu,sijui Wacha1 na Ab Titchas wako wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…