Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Ukitembelea mahali fulani kwa watani zetu, Kenya utakutana na usomi huu!!
Thanks for visiting us!!!
Thanks for visiting us!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keku... kidha kitu kwako ni ok tu mamangu?..........OK
Mkuu Gwakisa,
Sidhani kama hapa ni Kenya maana maneno ya chini yake ni ya Kibahasa (Malay) yenye maana ya hicho kiingereza kilichopinda. Huenda hapa ni Malaysia au Indonesia, maana hata wao kiingereza kimewakalia kushoto kidogo.
THANGS!!unajua sifa ya mtani hutupiwa kila taka ndo maana ya utani
kawawa toa kijiko hicho huu ni utani na sio ukweli nadhani unakumbuka enzi za mwalimu
Ukitembelea mahali fulani kwa watani zetu, Kenya utakutana na usomi huu!!
![]()
Thanks for visiting us!!!