Wamba de Wamba
Member
- Sep 2, 2013
- 16
- 2
Habari wana JF,
Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina.
1. Mapitio ya sera ya Elimu.
2. Mapitio ya mitaala kwa shule za msingi na sekondari.
3. Matumizi ya pesa za mradi wa HEET.
4. Utendaji wa taasisi: TCU, HESLB na COSTECH.
5. Mwenendo mzima wa taasisi za Elimu juu.
Mwisho, japo si kwa umuhimu:
1. Yatizame hayo kwa kina. Hali ya utendaji ni mbovu sana katika taasisi za Wizara yako. Don't trust your fellow professors, watakudanganya.
2. you are smart katika utendaji. Natambua utapata ukinzani hapo hapo ndani lakini simama imara. Mungu akutangulie Caroline katika majukumu hayo mapya.
Ahsante.