💥UNGEPENDA KUJIFUNZA KUSHONA?! HII NI NAFSI YAKO..💥
⚫JE, umemaliza darasa la saba, form 4 au form 6 umekaa nyumbani bila mwelekeo au umeajiriwa lakini unatamani kujifunza kushona iliupate side hustle ujiongezee kipato? Karibu uweze kujiunga na darasa letu la ushonaji @angelic_threadstz ili uweze kujipatia ujuzi utakao kusaidia kujiajiri/kuajiriwa.
⚫Gharama zetu ni nafuu Sana na tunatoa mafunzo ya uhakika kwa muda mfupi ambayo yatakuwa na manufaa kwako kujikwamua kiuchumi.
⚫Nafasi zetu ni chache mno hivyo wahi mapema. Tunapokea wanafunzi jinsia zote (KE na ME) wenye uwezo wa kusoma na kuandika na wanapatiwa cheti ( certificate) mwisho wa mafunzo haya.
⚫Wasiliana nasi kupitia namba 0763712704/ 0713353825 au kurasa yetu ya kijamii @angelic_threadstz
âš« Pia unaweza kujiunga na WhatsApp ambayo inakuwa active kwaajili maswali, majadiliano na kuelimishana zaidi, Link ipo kwenye BIO hapo yetu.
⚫Pia unaweza kufika offisi zetu kuchukua fomu na kufanya malipo zilizopo Kinondoni Manyanya/Barabara ya kinondoni / Opposite na American chips. KARIBUNI SANA!!
⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛⚛
#ushonaji #jifunzekushona #shuleyaushonaji #fashionschool #jifunzecherehani #kushona #darasalaushonaji