I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Karibu Gen Beta
Mwaka 2025 unaenda kuweka alama rasmi ya ujio wa kizazi kipya, kwa urahisi tu tunawajumuisha kwa kuwapa jina BETA.
Kizazi hiki ni kile kitakachoanza kuzaliwa kati ya miaka ya 2025 na 2039.
Kizazi Beta kinakadiriwa kuongeza 16% ya idadi ya watu ulimwenguni. Ni uzao huu utakuwa wazawa wa gen Y (millennials) na wadogo zao (kaka/dada) wa gen Z's. Wengi wa kizazi hiki watafanikiwa kuiona karne ya 22.
(PICHA YA KIZAZI 7 {7 generations})
Lakini kwa nini tuwaite GEN BETA?
Generation Beta inaifuata Generation Alpha (wale waliozaliwa 2010-2024). Kizazi hiki kinategemewa kuchonga njia ya dunia mpya " yaani dunia yao kabisa kivyao kabisa". Ndio maana tumeondoa utambulisho wa kutambulisha gen yao kwa kutumia herufi kama ilivyotumiwa kwa gen Y & Z; badala yake kwenda na Beta ili kuonyesha utofauti kuwa kizazi hiki kitakuzwa katika ulimwengu mpya wa kiteknolojia na kitamaduni.
Ingawa gen Alfa wamehuhudia ukuaji wa teknolojia erevu na akili bandia AI, Gen Beta wao ndio wataiishi nyakati hii ambako AI na mambo ya teknolojia itumika kwa kila kitu, na kwa vitu vingi. Wote tumeanza kuona jinsi mambo yalivyoanza kubadilika kuanzia sasa.
~ NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA, NA HERI YA MWAKA MPYA 2025!