karibu ku-share top 5 ya mitandao yako ya kijamii

karibu ku-share top 5 ya mitandao yako ya kijamii

Jamii Forums
Telegram
Quora

Google inaniunganisha na blogs na news outlets kama War History Online, The Buzz, National Interest, War is Boring, The Drive, EurAsian Times, Haaretz, Southfront, Simple Flying, The Aviationist na nyingine kibao za muhimu. Hizi ndo hutumia muda wangu mwingi kwa ujumla.

Instagram huwa naingia wambea wakileta story za madada wa mjini. Twitter kwa uchache. Hizi naingia kutokana na influence ya JF
 
hongera mkuu
 
Hiyo Quora na Pinterest zinahusu nn hasa?
quora ni platform ambayo watu mbali mbali huuliza maswali na upatiwa majibu yakinifu uzuri wa quora ni kwamba kuna watu wa taaluma mbalix2 toka sehem tofaut duniani na wenye profile za maana tu kwa hyo tegemea kukutana na vitu Konki mule hakuna wazee wa buku7 kule

pinterest hii ime jikita zaid kwenye upande wa picha una weza search taarfa kupitia picha ukaletewa matokeo yanayo fanana ama taarfa za kina kuhusu picha husika kama n mpenz wa designing,wedding planning,cooking, books,etc etc pia kupata taarfa mbali mbali pia una weza pata kwa hyo nakushauri uzi download sasa ujionee mwenyewe yaliyo yamoo
 
mbona watu kama facebook mnaitenga au mnaogopa mtaambiwa una utoto ..

Mimi za kwangu
1.jamii forum (hii ya kwanza sababu ndio sehemu ninayo tembelea sana kwa siku)

2.youtube .huku wanakula sana bando langu

3.whatspp.

4.facebook (lakini nikiingia huku nina sehemu zangu kama NNE tu nikimaliza kupitia nduki, profile picha tangu nijiunge sijawah kubadilisha ,Mara ya mwisho kupost sikumbuki lini , mvivu kulike na kukoment picha za watu .... Lakini natembeleaga Mara nyingi sana

5. Wikipedia napenda kugugo sana yaani nikiona kamsemo kadogo nakimbilia Wikipedia nikielewe kwa undani
 
Back
Top Bottom