E-Maestro
Member
- Nov 25, 2013
- 29
- 31
Habari wanajamii,
Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class.
Usikose fursa hii adimu ya kuboresha ujuzi wako na kupata cheti chenye hadhi ya kimataifa!
Karibuni wote!
Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class.
PMP® ni nini?
PMP® ni cheti cha kitaalamu kinachotolewa na Project Management Institute (PMI). Ni cheti kinachotambulika duniani kote na kinasaidia katika kusimamia miradi kwa ufanisi.PMP® Prep Master Class ni nini?
PMP® Prep Master Class ni kozi maalumu inayotolewa na Global Dynamics Consulting ili kukusaidia kujiandaa kwa ajili ya mtihani wa PMP®. Kozi hii itaangazia mbinu bora za usimamizi wa miradi na itakusaidia kufaulu mtihani wa PMP® kwa urahisi.Lini darasa linapatikana?
Darasa la karibu litafanyika kuanzia tarehe 5 hadi tarehe 9 Agosti 2024.Wapi?
Darasa litafanyika katika kumbi za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Gharama zikoje?
Gharama za Workshop ni USD 850.Unapata nini baada ya Training?
- Cheti cha kuhudhuria na kukupatia PDUs 35.
- PMBok th Edition.
- Miezi 3 ya Coaching.
Usikose fursa hii adimu ya kuboresha ujuzi wako na kupata cheti chenye hadhi ya kimataifa!
Karibuni wote!