Karibu Kujifunza Kuhusu PMP® Prep Training! - ULIZA SWALI LOLOTE!!

E-Maestro

Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
29
Reaction score
31
Habari wanajamii,

Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class.

PMP® ni nini?​

PMP® ni cheti cha kitaalamu kinachotolewa na Project Management Institute (PMI). Ni cheti kinachotambulika duniani kote na kinasaidia katika kusimamia miradi kwa ufanisi.

PMP® Prep Master Class ni nini?​

PMP® Prep Master Class ni kozi maalumu inayotolewa na Global Dynamics Consulting ili kukusaidia kujiandaa kwa ajili ya mtihani wa PMP®. Kozi hii itaangazia mbinu bora za usimamizi wa miradi na itakusaidia kufaulu mtihani wa PMP® kwa urahisi.

Lini darasa linapatikana?​

Darasa la karibu litafanyika kuanzia tarehe 5 hadi tarehe 9 Agosti 2024.

Wapi?​

Darasa litafanyika katika kumbi za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Gharama zikoje?​

Gharama za Workshop ni USD 850.

Unapata nini baada ya Training?​

  1. Cheti cha kuhudhuria na kukupatia PDUs 35.
  2. PMBok th Edition.
  3. Miezi 3 ya Coaching.
Kwa maswali na taarifa zaidi, tafadhali piga simu namba: 0768102300, Jumatatu hadi Ijumaa saa 9:00AM hadi 4:30PM.

Usikose fursa hii adimu ya kuboresha ujuzi wako na kupata cheti chenye hadhi ya kimataifa!

Karibuni wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…