Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Habari za asubuhi wanajamvi na kwa mda huu tunapoelekea mchana huu na habarini za jumapili kwa wale wakristo wenzangu.
Naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja, mimi ni mtaaluma wa ICT nikiwa nimebobea hasa katika programming, na nipo kwenye ajira nikiwa na maana nimeajiriwa.
Kilichonifanya kuweka uzi huu hapa mnamo tarehe za mwishoni mwa mwaka jana nilifika tamati ya kuamua kuchukua hatua na kuikamilisha ndoto yangu ya kumiliki kampuni, japo kampuni hii imebeba vitu vingi lakini mimi nimechukua kimoja na kutaka kuanza nacho ambacho ni katika fani ya IT services na nimeamua kuweka ofsi hii mkoani Shinyanga wilaya ya Kahama mji, kwanini nilipenda kwenda kuanza kazi huko ni kwa sababu Kahama kumechangamka kidogo na wafanyabishara ni wengi sana ambao pia wanatamani kufanya biashara zao kuendana na dunia ya sasa ya kidgital.
Tayari nimeshapanga Chumba cha ofisi na tayari nina TIN namba na Cheti Cha kampuni pamoja na Lessen ya biashara inayotolewa halimashauri, baada ya kueneza vitu hivi kuna baadhi ya vitu nikawa nimepungukiwa ikiwa ni Computer nzuri zenye uwezo bora kabisa wa kufunya kazi za Programming na shughuli zote za IT pamoja na wataalamu watakaokuwepo hapo ofsini.
Nimekuja kwenu ndugu zangu kwenye jukwa hili pendwa kabisaa nikiomba ushauri na pia kutafuta watu wa kufanya nao kazi
1. Ikiwa wewe ni programmer mzuri na upo vizuri sio mbabaishaji na kwa mda huu hauna kibarua na una PC yako nzuri kwa ajili ya kazi naomba uje tufanye kazi utatumia ofsi yangu nitakupa mahali pa kuishi ila sitakuajiri bali utajiajiri kulingana na kazi utakazokuwa unafanya utaichia ofsi asilimia 40 tu nawe utaondoka na asilimia 60.
2. Ikiwa kuna mtu yeye anasema mimi nina vifaa tu mfano anazo computer au atanunua basi nawe nakukaribisha tutafunga mkataba na nitakuwa nalipa kwe mwezi na riba yako juu mpaka pale nitakapomaliza den lako,
Angalizo kwa hapa computer utakazonunua ni mimi ndio nitakwambia nunua Computer za aina hii.
3.Ikiwa wewe una vifaa na unaweza pia kufanya kazi mwenyewe basi karibu nawe pia wewe utatoa tu asilimia 30 ya ofsi na 70 ni yako.
4. Mwenyewe uwezo wa kutaka kufanya biashara zake kulingana na vitu nilivyosajili kwenye kampuni yaan una mtaji wako ofisi ni yako kila kitu kwako isipokuwa unatumia usajili wa kampuni yangu pia nawe karibu tutafunga mkataba kusheria na tutafanya kazi.
Angalizo: Ofisi ni Kahama mkoa wa shinyanga na sitaenda tofauti na hapo karibu PM tuyajenge .
Hapo juu nimeweka aina ya shughuli ambazo zipo kwenye usajili wa kampuni hii na unaweza chagua kitu kimojawapo katika kukifanyia kazi