Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Good n congratulations.
Ni maoni yangu binafsi, so viewer secreation is adviced.
Nikiwa mdau kwenye sector hiyo, for long time sasa, nakushauri hiv;
Kibongo bongo software buznes japo ipo ila it s not dat much promising.Kwa ww unayeanza trust me, u will have to struggle sana sana mpaka kupata real deals kwa wadau wazur wanaoweza kukulipa vizur kwa issue za software development hasa kwa ww unaye code from scratch
WHY?
kampuni kadhaa zinazofanya hizo mambo wanafanya mchezo wa ku outsource software toka kwa makampuni ya nje ambazo tayar ziko ready made so kulingana na mahitaji ya mteja wanafanya adjustment za hapa na pale ku cater for customer requirement gathering.
Hii inawasaidia sana kwenye kuokoa muda as u understand project ya scope yoyote ile iko bounded na time limit (i assume u understant the complications od programing projects).
PIA hii huwa ina guarantee security ya system kwa wateja wao tofauti.
KAMA UNEJIPANGA KWA STYLE HII THEN well n good, go n strike the market harder OTHERWISE uta fukuzana sana na hiv vi school information systems, salesa magemet syatems etc ambavyo ONLINE VIPO VINGI SANA so some one can just download for FREE aka adjust tu matumiz yake.
WHAT I WOULD ADVICE U ON THE OTHER HAND IS;
Kama u have a registered company , there are vast of opportunites kwenye IT services kama networking, sucurity systems like cctv, intrusion,fire detection & prevention, access controll system etc.Hiz kazi ziko nyingi nying sana na kila buznes regardless of its size wana uhitaji so go for it.
Get your company registered kwenye Taneps (serikali inapitisha kazi zake huko) utakutana na a lot of tenders ambazo most of them u dnt even need to pay for.Just free to compete.
Nisamehe kwa uandish m bovu.
Eyce tia neno hapa kijana wangu.