Karibu kwa waagiza magari kutoka nje ya nchi

Joined
Jun 30, 2015
Posts
18
Reaction score
15
Karibu KIMOMWE MOTORS LTD tukuagizie gari kutoka nchi mbali mbali kama Japan,Dubai,Uingereza na Singapore.
Gari huchukua siku 30 kufika dar bandarini.
Gharama za gari ndogo ni tsh 400,000tu na gari kubwa tsh 500,000 tu.
Ofisi zipo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi jengo la Rubeya ,gorofa ya kwanza.
Simu:+255753438466
Muda wakazi:Jumatatu -Ijumaa (2:00-11:00)
Jumamosi (3:30-8:00)

Ukifika KIMOMWE MOTORS LTD utakutana na huduma zifuatazo:
1.Ushauri kutoka Kwa wataalam Wa mauzo(advice from professional sales)
2.Msaada kutafuta /kupiga hesabu ya ushuru na gharama zote za gari(assistance in calculating estimated tax and duty)
3.Msaada Wa kupiga gharama zote za huduma(assistance in calculating estimated delivery cost)
4.Utoaji wagari bandari (clearing of your vehicle).
5.Usajili Wa gari (assistance in registration of your vehicle).
6.usajili Wa namba ya gari (assistance in plate number registration)
7.Bima(insurance)
IMG-20190122-WA0056.jpeg
IMG-20190122-WA0006.jpeg
IMG-20190122-WA0053.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaagiza magari kwa kizungu?
 
Ukifika KIMOMWE MOTORS LTD utakutana na huduma zifuatazo:
1.Ushauri kutoka Kwa wataalam Wa mauzo(advice from professional sales) - good
2.Msaada kutafuta /kupiga hesabu ya ushuru na gharama zote za gari(assistance in calculating estimated tax and duty) - tax calculator kutoka website ya TRA inafanya hii kitu
3.Msaada Wa kupiga gharama zote za huduma(assistance in calculating estimated delivery cost) - good
4.Utoaji wagari bandari (clearing of your vehicle). - good
5.Usajili Wa gari (assistance in registration of your vehicle). - hapa mnatuibia tu, gari inasajiliwa wakati wa kuitoa bandarini
6.usajili Wa namba ya gari (assistance in plate number registration) - huu nao ni wizi mwingine. nambie tofauti ya huduma hii na hiyo ya no 5.
hapa kimsingi mnatoa huduma 3 tu na siyo sita kama ulivyoziainisha.
nyie ndo wale mnaosema, "nimekula mchicha, kabichi, chainizi, na spinachi" badala ya kusema, "nimekula mboga za majani"
 
Makadirio ya kodi kwa gari (nissan x-trail) inayouzwa USD 1000 iliyotengenezwa mwaka 2005 ni sh. Ngapi
Ili liwe mkononi mwangu Dar napaswa kuwa na jumla ya sh. Ngapi .
 
Ushuru wa gari nissan xtrail 2005 yenye cc 1990 ni tsh 6,252,541
Ila hiyo usd 1000,ni fob hakuna nissan ya mwaka huo uliotaja ikafika dar kwa dollar hiyo.
Angalia cif yake ndio tupate kujua itakufikia mkononi kwangapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushuru wa gari nissan xtrail 2005 yenye cc 1990 ni tsh 6,252,541
Ila hiyo usd 1000,ni fob hakuna nissan ya mwaka huo uliotaja ikafika dar kwa dollar hiyo.
Angalia cif yake ndio tupate kujua itakufikia mkononi kwangapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushukuru kwa majibu mazuri.
Kama hutajali kadiria usahihi wa CIF na FOB ili walio na mashaka nanyi wapate confidence ya kupata huduma kwenu.
 
Cif ya nissan xtrail 2005 zilizopo kwenye stock zinaanzia dollar 2400 wakati fob 920
So zitatofautiana kutoka gari moja kwenda jingine kulingana navigezo mbalimbali.

Karibu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifika KIMOMWE MOTORS LTD utakutana na huduma zifuatazo:
1.Ushauri kutoka Kwa wataalam Wa mauzo(advice from professional sales) - good
2.Msaada kutafuta /kupiga hesabu ya ushuru na gharama zote za gari(assistance in calculating estimated tax and duty) - tax calculator kutoka website ya TRA inafanya hii kitu
3.Msaada Wa kupiga gharama zote za huduma(assistance in calculating estimated delivery cost) - good
4.Utoaji wagari bandari (clearing of your vehicle). - good
5.Usajili Wa gari (assistance in registration of your vehicle). - hapa mnatuibia tu, gari inasajiliwa wakati wa kuitoa bandarini
6.usajili Wa namba ya gari (assistance in plate number registration) - huu nao ni wizi mwingine. nambie tofauti ya huduma hii na hiyo ya no 5.
hapa kimsingi mnatoa huduma 3 tu na siyo sita kama ulivyoziainisha.
nyie ndo wale mnaosema, "nimekula mchicha, kabichi, chainizi, na spinachi" badala ya kusema, "nimekula mboga za majani"
Mbona hii comments umeshindwa kuijibu/kuilezea kama alivyoainisha jamaa?...
Ahsante sana tunashukuru!
Karibu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom