harieth kiliaki
Member
- Jun 30, 2015
- 18
- 15
We're humbled for this good comment.....you're warmly welcome.You are real smart, hongera zenu sana, ndio baadaye tuanze maswali ya biashara
Tunaagiza kwa wateja mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali,akija anayeongea kiswahili tunamuhudumia ,akija mteja wa kiingereza tunamuhudumia!Mnaagiza magari kwa kizungu?
Ushuru wa gari nissan xtrail 2005 yenye cc 1990 ni tsh 6,252,541Makadirio ya kodi kwa gari (nissan x-trail) inayouzwa USD 1000 iliyotengenezwa mwaka 2005 ni sh. Ngapi
Ili liwe mkononi mwangu Dar napaswa kuwa na jumla ya sh. Ngapi .
Nakushukuru kwa majibu mazuri.Ushuru wa gari nissan xtrail 2005 yenye cc 1990 ni tsh 6,252,541
Ila hiyo usd 1000,ni fob hakuna nissan ya mwaka huo uliotaja ikafika dar kwa dollar hiyo.
Angalia cif yake ndio tupate kujua itakufikia mkononi kwangapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Cif ya nissan xtrail 2005 zilizopo kwenye stock zinaanzia dollar 2400 wakati fob 920Nakushukuru kwa majibu mazuri.
Kama hutajali kadiria usahihi wa CIF na FOB ili walio na mashaka nanyi wapate confidence ya kupata huduma kwenu.
Safi kwa mfumo wenu wa kazi mtapiga kazi sana
Mbona hii comments umeshindwa kuijibu/kuilezea kama alivyoainisha jamaa?...Ukifika KIMOMWE MOTORS LTD utakutana na huduma zifuatazo:
1.Ushauri kutoka Kwa wataalam Wa mauzo(advice from professional sales) - good
2.Msaada kutafuta /kupiga hesabu ya ushuru na gharama zote za gari(assistance in calculating estimated tax and duty) - tax calculator kutoka website ya TRA inafanya hii kitu
3.Msaada Wa kupiga gharama zote za huduma(assistance in calculating estimated delivery cost) - good
4.Utoaji wagari bandari (clearing of your vehicle). - good
5.Usajili Wa gari (assistance in registration of your vehicle). - hapa mnatuibia tu, gari inasajiliwa wakati wa kuitoa bandarini
6.usajili Wa namba ya gari (assistance in plate number registration) - huu nao ni wizi mwingine. nambie tofauti ya huduma hii na hiyo ya no 5.
hapa kimsingi mnatoa huduma 3 tu na siyo sita kama ulivyoziainisha.
nyie ndo wale mnaosema, "nimekula mchicha, kabichi, chainizi, na spinachi" badala ya kusema, "nimekula mboga za majani"