Karibu kwangu mke mwema

Karibu kwangu mke mwema

Kwann suala la kupima HIV hamlipi nguvu??


Aminn nawambia Vijana wenzangu. Ukimwi upo wana ,upo na unaua. Unaua kuanzia ile siku ya kwanza umeambiwa upo na tatizo.

Mbaya sasa, ni ile kila siku kunywa madawa..

Kama iyo haitoshi. Haya madawa yanawafanyaga wanaota ndoto za ajabu ajabu. Mtu anaota anakimbizwa na kibwengo , sijui anatafunwa na simba..mara yupo kwenye shimo kubwaaaa limejaaa damu ,mara amekimbia we ghafla dunia ikaanza kutikisika.





The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
Aisee una mambo wewe but point yako ni njema sana
 
Umri wako utakuwa zaidi ya 40 yrs hapo ushaoa hata mara 2 na kuacha, huko mtaani huwaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee swala gumu sana ndugu yangu.Wa mtaani na wa humu si walewale au au wa humu ni Maroboti? Halafu why bothering too much of non of your business? MTU unashinda Love connect kukatisha tamaa watu je tukikuuliza na we we umeitwa na nani humu utasemaje? Au sasa unataka kuwapangia watu wa JF majukwaa kama haya wayafutee.Wewe Soma ya huku waachie wenyewe wapo wanaenjoy.
Wewe nenda Jukwaa la Mapishi kajifiche huko kimyaa.Ya huku yatakuumiza sana na wala hutayaweza mana kila siku watu wanafungua Uzi.Wenye kupata watapata au walipata wenye bahati mbaya nao wapo ( ni kawaida wasikate tamaa.Mnakeraaa mnavyokatisha tamaa wenzetu kama mmeitwa vile.
 
Back
Top Bottom