Karibu kwangu mke mwema

Aisee una mambo wewe but point yako ni njema sana
 
Umri wako utakuwa zaidi ya 40 yrs hapo ushaoa hata mara 2 na kuacha, huko mtaani huwaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee swala gumu sana ndugu yangu.Wa mtaani na wa humu si walewale au au wa humu ni Maroboti? Halafu why bothering too much of non of your business? MTU unashinda Love connect kukatisha tamaa watu je tukikuuliza na we we umeitwa na nani humu utasemaje? Au sasa unataka kuwapangia watu wa JF majukwaa kama haya wayafutee.Wewe Soma ya huku waachie wenyewe wapo wanaenjoy.
Wewe nenda Jukwaa la Mapishi kajifiche huko kimyaa.Ya huku yatakuumiza sana na wala hutayaweza mana kila siku watu wanafungua Uzi.Wenye kupata watapata au walipata wenye bahati mbaya nao wapo ( ni kawaida wasikate tamaa.Mnakeraaa mnavyokatisha tamaa wenzetu kama mmeitwa vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…