- Thread starter
- #21
Karibu njoo Whatsapp Kwa mawasiliano zaidiNataka nije ninunue jeans na raba
0686153806
Karibu njoo Whatsapp Kwa mawasiliano zaidiNataka nije ninunue jeans na raba
Huyu ni winga na pia ni dalali wa kila kitu kule anakotangaza mikopo sijui ya hela na magari ukimpigia anakupa namba ya sijui eti boss wake na boss wake naye ana boss wake ,mwisho wa siku yeye alichoandika hapa na kile unachoambiwa vitu viwili tofauti .Weka location ya duka lenu. MAWINGA SIO WA KUWAAMINI.
Mkuu tofautisha official jobs and she de hustleHuyu ni winga na pia ni dalali wa kila kitu kule anakotangaza mikopo sijui ya hela na magari ukimpigia anakupa namba ya sijui eti boss wake na boss wake naye ana boss wake ,mwisho wa siku yeye alichoandika hapa na kile unachoambiwa vitu viwili tofauti .
Sasa ushauri ni nini ? Akiamua kuwa winga au dalali ajitahidi apewe full information ya kila anachokitangaza ili badaye jamii ya werevu isimuite tapeli .
Iam out .
Kumbe ni she. Naona kuna MR. kwenye user nameMkuu tofautisha official jobs and she de hustle
Hakuna ubaya akiwa winga, sema atafute chimbo la kupata bidhaa kwa bei ya chini zaidi kuvutia wateja maana bei anazoandika ndio bei za sokoni, sasa kutokana na changamoto ya uaminifu kwa sisi wabongo mtu kuagiza mzigo kutoka kwa stranger anaweza akaamua kwenda mwenyewe tu sokoni.Huyu ni winga na pia ni dalali wa kila kitu kule anakotangaza mikopo sijui ya hela na magari ukimpigia anakupa namba ya sijui eti boss wake na boss wake naye ana boss wake ,mwisho wa siku yeye alichoandika hapa na kile unachoambiwa vitu viwili tofauti .
Sasa ushauri ni nini ? Akiamua kuwa winga au dalali ajitahidi apewe full information ya kila anachokitangaza ili badaye jamii ya werevu isimuite tapeli .
Iam out .
Hata mimi nimeshangaa sana. Inaonekana ni mgeni kwenye kazi yake.Hakuna ubaya akiwa winga, sema atafute chimbo la kupata bidhaa kwa bei ya chini zaidi kuvutia wateja maana bei anazoandika ndio bei za sokoni, sasa kutokana na changamoto ya uaminifu kwa sisi wabongo mtu kuagiza mzigo kutoka kwa stranger anaweza akaamua kwenda mwenyewe tu sokoni.
Elfu 18 kariakoo unapata jinsi kwa bei ya rejareja, sasa ununue bei hiyo kwa jumla utaenda kuuza shilingi ngapi?