Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
Kusema kweli kabisa,
yapo mengi SANA ya kujifunza baada ya kuwa tumemaliza
elimu ya kufanyia mitihani na kupatia vyeti.
Hata kama utasoma ukurasa mmoja kwa wiki,
Hakuna tatizo.
Lakini iko faida kubwa kuliko kutosoma kabisa.
Kwa miaka karibia 40 sasa, tumeambiwa:
Ukimwi unasababishwa na HIV.
Ukipata ukimwi huponi.
Ukimwi husababishwa na virusi.
JE, NI KWELI?
Sina nia hata kidogo ya kupuuza mateso wanayopitia watu;
Au kubeza juhudi za madktari wetu.
Maana yangu tu ni kwamba,
JE, NI KWELI?
Mimi sio daktari,
Nilichonacho ni kiu tu ya kupenda kujifunza. BASI.
Kama ni suala la afya, napenda kutafuta watu wa afya wenyewe
wanasema nini.
Ndugu zangu, dunia imejaa uongo kwa namna usivyoweza kudhania.
Dr Biswaroop Roy Choudhury anasema yafuatayo:
Business of fear haijaanza leo!!
KAMA UTAPENDA, hebu soma kitabu chake HAPA.
Using'ang'ane tu na kile ulichoaminishwa automatically.
Sijasema kwamba yuko sahihi au hayuko sahihi.
Ninachosema tu ni kuwa ana mtazamo tofauti ambao ni quite interesting.
Si vibaya kuufahamu.
Please, seek alternative view of things,
make comparison,
and come up with a balanced conclusion.
LAKINI SIO LAZIMA.
KAMA HUPENDELEI ELIMU NJE YA DARASA.
ENDELEA TU NA MAISHA YAKO.