Karibu kwenye JF Music awards 2024

Karibu kwenye JF Music awards 2024

We Mushizo utawauaaa.Wivu tu ndio wimbo bora wangu wa mwaka.Pembeni na castle lite za kutosha na mzee mwenzangu.Hatari sana.
 
Sasa huna cha kuwapa zaidi ya shukrani mzee afu usumbue watu kupiga kura.

Hao wasanii wenyewe hiyo jf hawana accounts, hata ukiwapa maua yao si ajabu yasiwafikie.
 
Mods futeni huu Uzi,

wasanii wenyewe ndo hawa hawa wanaoisifia CCM ni upuuzi tu hizo pongezi watapewa kwenye hafla zao za Kizimkazi festival pumbavu.
Kwa mfano kama Davido msanii yupo kwenye kipengele cha tuzo, huyo anahusika vipi na hiyo ccm yako chief?
 
Back
Top Bottom