Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 21, 2024 #41 KENZY said: Napinga kama hakuna kitu chakuwapa basi isifanyike! Click to expand... Najitolea kuwapa hirizi za mvuta washindi wote
KENZY said: Napinga kama hakuna kitu chakuwapa basi isifanyike! Click to expand... Najitolea kuwapa hirizi za mvuta washindi wote
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Nov 21, 2024 #42 Mshana Jr said: Najitolea kuwapa hirizi za mvuta washindi wote Click to expand... hujaacha tu ushirikina..?
Mshana Jr said: Najitolea kuwapa hirizi za mvuta washindi wote Click to expand... hujaacha tu ushirikina..?
L Londonboi Member Joined May 5, 2024 Posts 40 Reaction score 56 Nov 21, 2024 Thread starter #43 KENZY said: hujaacha tu ushirikina..? Click to expand... Huyo mzee ushirikiana na yeye ni pete na kidole ila ana hekima nyingi π€£
KENZY said: hujaacha tu ushirikina..? Click to expand... Huyo mzee ushirikiana na yeye ni pete na kidole ila ana hekima nyingi π€£
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Nov 21, 2024 #44 DEO KISANDU alias Don namilison mwana wa kisandu apewe tuzo yake alijua sana kutupa burudani kwa mangoma yake makali
DEO KISANDU alias Don namilison mwana wa kisandu apewe tuzo yake alijua sana kutupa burudani kwa mangoma yake makali
L Londonboi Member Joined May 5, 2024 Posts 40 Reaction score 56 Nov 24, 2024 Thread starter #45 Tarehe 25/11/ 2024 zoezi la upigaji kura.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Nov 24, 2024 #46 Naomba viongezwe vipengele vya 26. Changudoa wa kiume wa mwaka. 27. Changudoa wa kike wa mwaka. Ni ombi tu.
Naomba viongezwe vipengele vya 26. Changudoa wa kiume wa mwaka. 27. Changudoa wa kike wa mwaka. Ni ombi tu.
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 15,351 Reaction score 21,362 Nov 24, 2024 #47 PAGAN said: Naomba viongezwe vipengele vya 26. Changudoa wa kiume wa mwaka. 27. Changudoa wa kike wa mwaka. Ni ombi tu. Click to expand... π π π
PAGAN said: Naomba viongezwe vipengele vya 26. Changudoa wa kiume wa mwaka. 27. Changudoa wa kike wa mwaka. Ni ombi tu. Click to expand... π π π