Karibu kwenye saluni ya jf

Karibu kwenye saluni ya jf

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,717
Reaction score
13,176
KARIBU KWENYE SALUNI YA JF.
BEI ZETU NI KARIBU NA BURE:Kinyozi wa muda ni Washawasha.Wasaidizi Excellent na Free Thinker
1.KUNYOA NDEVU TSH 1000/=
2.KUNYOA PUNK TSH 1450/=
3.KUNYOA KIPARA TSH 1000/=
4.KUNYOA UNGAUNGA TSH 1000/=
NB:BEI INABADILIKA KUTOKANA NA UKUMBWA/UDOGO WA KICHWA CHAKO BILA KUJALI UMRI WAKO.
:NI MARUFUKU KUANGALIA TV WAKATI UNANYOLEWA.
:NO SMOKING
:UMBEA NI MAKRUFU.
Baadhi ya madume ya mbegu ambayo ni wateja wakubwa wa saluni hii ni pamoja na figganigga BAK Excellent ndetichia Katavi, Baba V The Boss Bujibuji Jerrymsigwa Kigogo Asprin Bishanga Judgement Mzee Mwanakijiji klorokwini muuza ubuyu Jiwe Linaloishi Mtambuzi KakaKiiza Kaizer Mtumishi Wetu Adharusi Mr Rocky Mphamvu watu8

SALUNI YA KIKE:Msusi wa muda ni farkhina.Msaidizi
1.KUOSHWA NYWELE TSH 2000/=(unachagua mwenyewe kwa kuoshwa na omo,jiki,shampoo au sabuni ya mbuni)
2.KUWEKA CURL TSH 2300/=
3.KUSUKWA TSH 1800/=
Kama kuna style unayoipenda na haipo kwenye bango la bei zetu basi unaruhusiwa kuongea na muhusika ili muweze kuelewana bei.
Badhi ya warembo ambao ni wateja wakubwa wa saluni hii ni pamoja na FaizaFoxy Kongosho King'asti Preta Paloma Lady doctor Nivea miss wa kinyaru Passion Lady AshaDii BADILI TABIA charminglady KOKUTONA Madame B MadameX MAMMAMIA mama D Dena Amsi Nyamayao Lisa Arabela afrodenzi mimisa Smile sweetlady Mamndenyi double R MwanajamiiOne Jawilat Sista mimi49 Chocs DEMBA ladyfurahia Valenti8 Mwali,
Satisfied guaranteed.
Idadi ya wateja ni 999.998 and still counting....

2013-05-10+17.02.09.jpg

Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom