Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nalipa halafu najinyoa,kisha nawanyoa wengine
Kumnyoa msela kama huyu ni shilingi ngapi?
![]()
haloo halooo umenikosha we mwanaume!haya nitakufanyia scrub lkn kwa masharti!Miye naomba muwe mwafanya na scrub halafu nikija hapo nifanyiwe scrub na mimi49 tu...wengine sitaki
Duh huyu mtu ama cartoon?
huyu anahitaji waxing!!Kumnyoa msela kama huyu ni shilingi ngapi?
![]()
Kwanza hio scrub ya wapi?hebu basi ainisha hayo masharti ili tuingie mkataba siye...hakikisha unayaaindika kwa 'Kidigo' ili huyu farkhina asipate kuelewa.
huyu anahitaji waxing!!
Kwanza hio scrub ya wapi?