Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #261
hahahaha utatukimbizia wateja bhana.Duh asante, kuna salon moja pale ubungo opposite na hostel za madent kuna dada mmoja anatokea tanga ni balaa, haki ya nani wanaume kaz tunayo
Ulishaubip moyo wangu!Hahahahahahahaha....tuliza munkari
Sehemu nyengine bei ni maelewano.Mbona sijaona bei za kunyolea sehemu zingine?
Bora ufanye hivyo kaka asije akaghairi bure.ladyfurahia usiwe na shaka kila kitu kitaenda vyema Washawasha simkimbizi stevoh bana wasiwasi wako tuu ngoja nimuadvisi and faster salon kwako
Hapo ni mwendo wa kusaidiana tu kama unaweza kumsaidia kusuka basi unawasuka tu ili mradi usimvute tu lol.Walileta oda warembo nane,ila bosi kanihamishia kitengo cha kunyoa,idara MAALUM!
Huduma hiyo inapatikana na bei hutegemea mahala unapotaka kukandwa na pia hupanda na kushuka kutegemea na umbile lako,ukiwa bonge bei inakuwa juu tofauti na mwembamba.Washawasha nilisahau kidogo,
hivi ile huduma ya kukandwa kandwa je?
Ni Excellent ndiye hufanya hivyo sasa sijui ndio mambo ya swagg au huwa anajisahau!hivi Washawasha umesema ni naninajatembea na rimoti mfukoni? hahahahahaha
Huyo ndio spesholisti wa mambo haya ya massage utatoka ukiwa mwepesiiiii.naihitaji hhuduma ya massage pls
Ni kweli kabisa miss wa kinyaru huwa anaitangaza vizuri sana saluni yetu hii na saa yoyote kuanzia sasa tutamfanyia bonge la party la kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa.kwa kweli huwa napata mapokezi mazuri sana pale saloon, na huwa napendezeshwa kwelikweli, nikitoka hapo lazima waniulize nawasaidia sana kutangaza biashara
Excellent anapenda muziki hatari..ndio yeye na ukiikuta remote badi ujue betri ametoa lolhivi Washawasha umesema ni naninajatembea na rimoti mfukoni? hahahahahaha
AhahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaUlishaubip moyo wangu!
Nalog off
Huamini au...you mean pubic hair? Dah mwenyekiti ni wewe au ngoja niangalie vizuri kama kweli ni wewe.
Pole sana...salam zao na usisahau kuja na magimbi na maboga!
Mr Rocky napenda sana,umegusa napopapenda,lol...niletee