Bora ufanye hivyo maana kumepooza utafikiri nini bana,hata watu wanaokwenda makaburini huwa wanaimba,hebu tupe hiyo mipasho.
Nalog off
Hahahaha subir nilainishe kooo narudi lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ufanye hivyo maana kumepooza utafikiri nini bana,hata watu wanaokwenda makaburini huwa wanaimba,hebu tupe hiyo mipasho.
Nalog off
Fanya haraka wateja wasije wakakimbia.Hahahaha subir nilainishe kooo narudi lol
Fanya haraka wateja wasije wakakimbia.
Nalog off
Fanya haraka wateja wasije wakakimbia.
Nalog off
Wacha tulinge huduma zetu ni kabambe aisee.Hahahahaha hawakimbii hao chezea huduma zetu eeeh...
zinapatika kaka fika eneo husika na pata maelekezo nini cha kufanya.Massage za 'happy ending' zipo?
zinapatika kaka fika eneo husika na pata maelekezo nini cha kufanya.
Nalog off
Manzese kwa wachonga visu.Washawasha we ni noma, hiyo saluni wapi iko
Manzese kwa wachonga visu.
Nalog off
Manzese kwa wachonga visu.
Nalog off
binamu huwa unapoteaga wewe...mi napata wasiwasi,kulikoni Mr Rocky?Asante sana mkuu wangu Judgment
Salam za Mamndenyi nazipokea kwa mikono miwili na mwambie nimemmiss sana kama rafiki wa zamani
Umenionea wapi KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Blaki Womani, Chocs na Madame B na Zion Daughter na Lady doctor na ladyfurahia
Hahahahahahahaha....tuliza munkariHe! mashaka ya nini tena?
Nalog off
KARIBU KWENYE SALUNI YA JF.
BEI ZETU NI KARIBU NA BURE:Kinyozi wa muda ni Washawasha.Wasaidizi Excellent na Free Thinker
1.KUNYOA NDEVU TSH 1000/=
2.KUNYOA PUNK TSH 1450/=
3.KUNYOA KIPARA TSH 1000/=
4.KUNYOA UNGAUNGA TSH 1000/=
NB:BEI INABADILIKA KUTOKANA NA UKUMBWA/UDOGO WA KICHWA CHAKO BILA KUJALI UMRI WAKO.
:NI MARUFUKU KUANGALIA TV WAKATI UNANYOLEWA.
:NO SMOKING
:UMBEA NI MAKRUFU.
Baadhi ya madume ya mbegu ambayo ni wateja wakubwa wa saluni hii ni pamoja na figganigga BAK Excellent ndetichia Katavi, Baba V The Boss Bujibuji Jerrymsigwa Kigogo Asprin Bishanga Judgement Mzee Mwanakijiji klorokwini muuza ubuyu Jiwe Linaloishi Mtambuzi KakaKiiza Kaizer Mtumishi Wetu Adharusi Mr Rocky Mphamvu watu8
SALUNI YA KIKE:Msusi wa muda ni farkhina.Msaidizi
1.KUOSHWA NYWELE TSH 2000/=(unachagua mwenyewe kwa kuoshwa na omo,jiki,shampoo au sabuni ya mbuni)
2.KUWEKA CURL TSH 2300/=
3.KUSUKWA TSH 1800/=
Kama kuna style unayoipenda na haipo kwenye bango la bei zetu basi unaruhusiwa kuongea na muhusika ili muweze kuelewana bei.
Badhi ya warembo ambao ni wateja wakubwa wa saluni hii ni pamoja na FaizaFoxy Kongosho King'asti Preta Paloma Lady doctor Nivea miss wa kinyaru Passion Lady AshaDii BADILI TABIA charminglady KOKUTONA Madame B MadameX MAMMAMIA mama D Dena Amsi Nyamayao Lisa Arabela afrodenzi mimisa Smile sweetlady Mamndenyi double R MwanajamiiOne Jawilat Sista mimi49 Chocs DEMBA ladyfurahia Valenti8,
Satisfied guaranteed.
Idadi ya wateja ni 999.998 and still counting....
![]()
Nalog off
Labeik...nimekuja Free Thinker.....vipi wangapi leo watakasa kusuka
Washawasha nilisahau kidogo,
hivi ile huduma ya kukandwa kandwa je?