Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kaka kazi umeipata.
Wateja sampuli ya huyu jamaa Free Thinker,ni wakorofi mpaka basi ila nimeona bora nimpe kazi hapa saluni ili awe mtulivu kidogomecheka sana wallah
yaani mteja anaruhusiwa kukkata kibao ukiharibu style? alikuwa Free Thinker nini?
Karibu sana tutakupokea na matarumbeta siku hiyo patanogaje? maana utakutana KOKUTONA
Nalog off
Tuko kikazi zaidi si unajua ndio tunaanza?
Ha ha haa saluni yenu iko juu eeeh........wateja wanapokewa na kukaribishwa na matarumbeta?
Nitawahi sana nijionee
Tuko kikazi zaidi si unajua ndio tunaanza?
Nalog off
hilo nilianza kulinunua kabla sijanunua hizi mashine,yaani ni mwendo wa kiieksikyutivu tu.Niekubali
RED CARPET je? Ipo???
hilo nilianza kulinunua kabla sijanunua hizi mashine,yaani ni mwendo wa kiieksikyutivu tu.
Nalog off
shukrani sana.Ha ha ha haa, haya bhana....mjasiliamali kaza buti
Hapana kaka Jerrymsigwa,huyo ni farkhina akiwa kazini hapo.ngoja Excellent arudi na remote(maana masaa yote anatembea nayo mfukoni kama simu vile) tuweke muziki umuone akicheza aisee huyu bibie kaumbika.
Nalog off
Ha ha haa saluni yenu iko juu eeeh........wateja wanapokewa na kukaribishwa na matarumbeta?
Nitawahi sana nijionee
Excellent na Washawasha wanyoaji wazuri tu.....utanyolewa taratibuuunitafutie kinyozi mzuri basi shost
ni kweli kabisa yeye atachagua mmoja kati yetu.Excellent na Washawasha wanyoaji wazuri tu.....utanyolewa taratibuuu
Halafu remote kaondoka nayo yeye unaona sasa hata muziki tunashindwa kusikiliza.
Nalog off
Bora ufanye hivyo maana kumepooza utafikiri nini bana,hata watu wanaokwenda makaburini huwa wanaimba,hebu tupe hiyo mipasho.Mie ntaimba mipasho saivi...