Karibu kwenye saluni ya jf

Karibu kwenye saluni ya jf

Washawasha huyo dada alieshika bomba jeusi na gauni la mistari mistari dah hiyo nguo ni kiboko, yani mbele tu anaonekana hivyo, sipat picha akigeuka. Mambo ya Mozambique hayo nini mkuu?
Hapana kaka Jerrymsigwa,huyo ni farkhina akiwa kazini hapo.ngoja Excellent arudi na remote(maana masaa yote anatembea nayo mfukoni kama simu vile) tuweke muziki umuone akicheza aisee huyu bibie kaumbika.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Miye naomba muwe mwafanya na scrub halafu nikija hapo nifanyiwe scrub na mimi49 tu...wengine sitaki
Ombi lako limekubaliwa itatubidi tumkodi kwa muda bibie mimi49 ili akuhudumie.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Kumnyoa msela kama huyu ni shilingi ngapi?

hairy_hairy_man.jpg_1286408464.jpg
tutamnyoa kwa Tsh 7860/=
Nalog off
 
nafikiria mtindo wa kusuka alafu nije

Ila,sitaki yafuatayo:
kuvutwa,
stori za siasa
mapinduzi
natumaini mnaviti vyenye sponji wateja tusiumie na muziki kwa mbaaliii
Msusi wetu farkhina,huwa anawavuta wale ambao kila saa wanaongea na simu,kwahiyo ukitulia utasukwa kwa utulivu kabisa,na mambo ya siasa hakuna kabisa kwenye saluni yetu labda uende saluni ya kina Ritz,halafu muziki hapa ndio nyumbani kwake utakutana na Dj Excellent utaondoka ukiwa umesuuzika roho yako kwa kweli na kama hutofurahia huduma basi unaruhusiwa kuondoka bila kulipa.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Mie nataka kusuka mtindo unaitwa .......utii wa roda........
je hapo salon kwenu nitapata fundi?
Mji mzima unajua ya kwamba @Farhkina ndio fundi wa ukweli kwahiyo karibu sana bi dada,fundi yupo.
Nalog off
 
Back
Top Bottom