Lisa ngoja daktari watu8 aje atujibu kwa nini hicho kiungo pekee kwenye mwili kinakuwa cheusi Madame B yaani afadhali nimekuona na ukiwa salama pia we endelea kupalilia maana KakaKiiza Ana nywele za kuhesabu sasa hata kuota zahitaji mbolea Heaven on earth hujambo Madame B nataka wewe uninyoe bana Excellent Ana mikono migumu kama mbeba zege bana akikunyoa anakuachia alama kichwani za kucha zake Passion Lady mzima wewe
shosti yaani nimecheka hadi machozi. etii mie dume la mbegu. na mume wangu Kaizer atakuwa nani? btw naomba uniulizie kwa Washawasha kusuka sangita bei gani?
Kuna saluni zina mambo mjini hapa wee acha tu, eti wananyoa nywele za puani na masikioni
Kumnyoa msela kama huyu ni shilingi ngapi?
Weee uninyoe kiduku mnna mashahari yangu wengine wanatafuta za maiti wabandike wewe wataka kuniumbua...
bora saluni ya kike umbea unaruhusiwa
maana nilivyo mmbea,kila siku mi na saluni
ili ninyake yaliyojiri duniani!!
watu8 Hahahaha kakutaja wewe makusudi maana alijua mie ntamuumiza lol ntamsugua kwa nguvu...wewe mikono lainiiiihaloo halooo umenikosha we mwanaume!haya nitakufanyia scrub lkn kwa masharti!
umbea lazima...
Asante sana mkuu wangu Judgment
Salam za Mamndenyi nazipokea kwa mikono miwili na mwambie nimemmiss sana kama rafiki wa zamani
Umenionea wapi KOKUTONA na binamu zangu Paloma Passion Lady Blaki Womani, Chocs na Madame B na Zion Daughter na Lady doctor na ladyfurahia
Hahahaha umeshtuka eeehwe mtoto weeee!!!:shocked:
Ha ha ha!
Washawasha naomba niajiri kwa ajili ya kusuka..
hebu basi ainisha hayo masharti ili tuingie mkataba siye...hakikisha unayaaindika kwa 'Kidigo' ili huyu farkhina asipate kuelewa.
Mie nataka kunyoa zuvima... Je ni bei gani??? farkhina