Karibu kwenye saluni ya jf

Karibu kwenye saluni ya jf

Lisa ngoja daktari watu8 aje atujibu kwa nini hicho kiungo pekee kwenye mwili kinakuwa cheusi Madame B yaani afadhali nimekuona na ukiwa salama pia we endelea kupalilia maana KakaKiiza Ana nywele za kuhesabu sasa hata kuota zahitaji mbolea Heaven on earth hujambo Madame B nataka wewe uninyoe bana Excellent Ana mikono migumu kama mbeba zege bana akikunyoa anakuachia alama kichwani za kucha zake Passion Lady mzima wewe
 
Last edited by a moderator:

Mie sijambo Binamu Mr Rocky.
Wewe njoo nikunyoe.
Nitakunyoa aina yoyote, sehemu zote za mwili.
Kuna chumba special tutaingia mimi na wewe tu, nitakunyoa mpaka uridhike.
Excellent atakuumiza.
 
Last edited by a moderator:
Kumnyoa msela kama huyu ni shilingi ngapi?

hairy_hairy_man.jpg_1286408464.jpg

Huyu buree tu maana tutakua tumemsaidia sana kupunguza uzito...hapo hata tukimaliza kumnyoa kilo 5 nzima ya nywele lol.
 
Back
Top Bottom