Ha ha ha...usafishwe hadi weusi weusi utoke woteeee
Hahahaha umeshtuka eeeh
hiyo tunanyoa kuanzia 20,000Ni sh 5350 mnyoaji Washawasha na Excellent...sijui wataka style gani kipara au mchicha n.k
Hahahahaha hivi tz kuna lugha ngapi? Ila ongeeni yeyote sifahamu hata moja.
Hahahahaha na wewe unavokuwa hutulii nikikusuka kutwa vidole kwenye simu..nakuvuta makusudi lol,
Kuna saluni zina mambo mjini hapa wee acha tu, eti wananyoa nywele za puani na masikioni
Heheh...huyo binti yangu kajisahau katamka kwa nguvu wakati baba yake nipo in ze hauzi
hahahaaa......... Kuumbe basi kuanzia leo hutonisuka tena
ha ha ha...vyovyote vile ili mradi tu viganja vya bibiye mimi49 ndio vihusike kuubofya bofya wangu uso...
Kumnyoa msela kama huyu ni shilingi ngapi?
hiyo tunanyoa kuanzia 20,000
Eeeeh bora...mie ntakua nawapodoa CC mimi49 Heaven on earth
Kabisa kama sufii!!watu8 Hahahaha kakutaja wewe makusudi maana alijua mie ntamuumiza lol ntamsugua kwa nguvu...wewe mikono lainiiii
jamii ya nyani, sokwe, ngedere, tumbili!
He he he with pleaseure :smile-big:ha ha ha...vyovyote vile ili mradi tu viganja vya bibiye mimi49 ndio vihusike kuubofya bofya wangu uso...
hiyo tunanyoa kuanzia 20,000
hahaaaaaaa Wii nimecheka hataaaa......ukiozeshwa mume kama huyo sijui itakuwaje