Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
mi si masai siwezi kukaa paja nje ila nanyoa na kutengeneza rasta,,,,,nasikia unata usuke rasta za kwapa
sio za kwapa tu hata za kule kwa mchimba kisima aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi si masai siwezi kukaa paja nje ila nanyoa na kutengeneza rasta,,,,,nasikia unata usuke rasta za kwapa
hawa jamaa wako vizuri kuliko baadhi ya watoto wa viongozi.Duh hiyo huduma ni ya kujaribu kuipata, lakini wanaonekana hao sio wale vijana wenye maadili
Huduma hiyo ya kusuka Rasta inapatikana kwenye saluni yetu.sio za kwapa tu hata za kule kwa mchimba kisima aisee
Hahaahahaha hebu ncheke mie maisha yenyewe mafupi.
sio za kwapa tu hata za kule kwa mchimba kisima aisee
wla usijali kuhusu hilo farkhina
mi mzoefu kwny kusutwa,nilishasutwa
mpaka na u.p.u.pu wala sijauskia kama unawasha!!
Hela yako tu Lady doctor!
Za huko kwa mchimba kisima nitakusukia kwenye privacy ya kutosha,usihofu.
poa basi, itabidi unielekeze ofisi zenu zilipo
Na kweli nimetegwa....wamependezaje!!!Karibuni Saloon yetu ''Saloon ya JF".....hawa ndo walionyoa hii weekend....kutoka kushoto ni figganigga snowhite....babu Asprin mpaka anaonekana kijana sosoliso naye kavaa miwani Judgement anaonekana kashapiga tungi ila bado kapendeza Baba V kapiga miwani ili amtege mimi49,mwoshoni Mr Rocky kala pozi baada ya kunyolewa
hao ni walionyolewa,subiri waliosukwa mbona una haraka kama bao la kihayaNa kweli nimetegwa....wamependezaje!!!
Nimekupgia sim,namba inaishia na 9,pokea bhana
du,ni noma
mith u too shost
ila ubusy umepungua utaniona
kwa sana tu naw days!!
Hehehe saloon yetu noma kwa kunyoaHahahahahahaa wametokajeeee...
umeona pozi ya kilevi?Na kweli nimetegwa....wamependezaje!!!
we unaonekana mzee wa kunyoa afroDuh hiyo huduma ni ya kujaribu kuipata, lakini wanaonekana hao sio wale vijana wenye maadili
Heee itakua wamefiwa lol.