Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Sumu ya penzi
Nikusaidiaje
Nipe tano
Hili game by Sir Nature.
Bablee kizizi ile beat ni kali naiomba.Burudani:
Je, unapenda kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo mbalimbali?
Nyimbo nyingi za sasahivi ukitaka kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS utazikuta wameweka huko YouTube, Google, n.k.
Lakini nyimbo za zamani zile za enzi ya producers akina P-Funk majani, Master J, Mika Mwamba, Said Comolien na wengineo ni ngumu kupata BEATS zao.
Hivyo weka comment ya wimbo ambao unapenda usikilize INSTRUMENTAL BEAT yake.
Right Marker,
Mbezi, DSM.
Mh! nawe umoumo!Sumu ya penzi
Nikusaidiaje
Nipe tano
Bablee kizizi ile beat ni kali naiomba.
TID zeze
Mr blue tabasam
Sumu ya penzi
Nikusaidiaje
Nipe tano
Bablee kizizi ile beat ni kali naiomba.
TID zeze
Mr blue tabasam
Hahahaha 😆Mh! nawe umoumo!
NomaSumu ya penzi
Nikusaidiaje
Nipe tano
Mziki mzuriNoma
KinomaaMziki mzuri