karibu linaitwa janga!

hilo tuko la ngono dadangu paerformance yake iko katika akili zaidi ya mwili. japo hujasema ana umri gani, lakini kama ni under 40, that performance level is too low. ila inawezekana mwenzio ana depression/stress, hofu, feelings of inferiority, low self esteem, nk. matibabu yake yaweza kuhusisha counselling, baadhi ya vitamin kama C na D, madini kama zinc, calcium, magnesium nk, vyakula vya protein nk.

kuna wanaume wakiwa na hali ngumu ya uchumi huwa wanashuka performance kwa kuhofia mwanamke atashindwa kumuelewa, pia kuna too much exposure ya mwili wa mwanamke na pornography vinavyosababisha mwanaume asipate hisia muwapo pamoja. kama ana tabia za kuzama chumvini au tigo nk, jihadhari sana vinachangia sana hali hyo kwani vinapunguza hisia zake kwa kuuchukulia mwili wa mwanamke kama kamtambo fulani hivi.

kuna hata ambao wanalala na mwammke lakini anapata ogrgasm baada ya kuvuta kumbukumbu ya pornography fulani aliyokwishaiona huko nyuma na sio kwamba mpenzi wake ndiye aliyemfikisha orgasm. hapo ni sawa na kujichua kwa kutumia mwili wa mpenzi wake. wenyewe wanaita "kudownload"!

pia baadhi wanawake wenzangu huwa hawataki kuwapa nafasi wapenzi weo wajisikie kuwa ni wanaume (i hope wewe si mmoja wao) yaani mwanaume akianza kujibaraguza tu unasikia, siku hizi haki sawa babu nk, hii inadhofisha na hatimaye inaua kabisa ego ya kiume. it works in the same way as most ladies hapa utasikia nampenda mwanaume ambaye ni caring etc manake if he is not caring inaua some senses of femininity na general performance yako pia itashuka. bahati nzuri au mbaya ni kuwa kimaumbile, mwanamke akishuka performance unaweza usigundue kwa kuwa maumbile yake hayahitaji erection kabla ya tendo ingawa anahitaji kuwa wet and juicy which is easier to achieve than orgasm. ukichunguza matatizo ya wadada kutofika kilelelni huchangiwa pia na perforamance zao kushuka na sio kila mara huwa ni kushindwa kwa mwanaume
 
Asanteni sana kwa maoni yenu ntayafanyia kazi. Khsu pombe my love hanywi wala kuvuta! Ila nahc ubize labda. Hv nianzeje kumuuliza kama anatatizo? Hv huwa anajickia vby kutoni do ninapohtaji na yy kushndwa?once again Asanteni kwa ushauri wa kunijenga
 
Lady G hiyo haiko mukinga!
We iko njo kwangu natomboka kidogo ka bao nne ivi inatosha sana!
 
Rais Wa Brazil aliwashauri wanaume wale Mkuu wa Meza ili kuboresha nguvu za kiume mbona unapingana nae?
 
Jaribu kushirikiana sana hasa katika swala la mapenzi kunauwezekanao kuna vitu vinamfanya hadi kukosa hamu ya tendo la ndoa
Asanteni sana kwa maoni yenu ntayafanyia kazi. Khsu pombe my love hanywi wala kuvuta! Ila nahc ubize labda. Hv nianzeje kumuuliza kama anatatizo? Hv huwa anajickia vby kutoni do ninapohtaji na yy kushndwa?once again Asanteni kwa ushauri wa kunijenga
 
Asante zpuwawa! Nianzeje kumshirikisha? Nimuulizeje? Asijisikie vby
 
hiyo stori usiianzishe baada tu ya tendo au wakati mnataka kutenda kwa maana utamsononesha
sana na pengine akaanza kutoka nje (kama hafanyi hivyo) ili kujidhihirishi kwamba anaweza shughuli.
hii habari inabid uianze mkiwa mmetulia labda ukumbini na mnazungumzia masuala ya mahusiano
kwa ujumla kisha unaanza kuchomekea kidogo kidogo mathalani kwa kumshauri kuongeza idadi ya kudo.

usisahau kumpa supu ya pweza na kumchemshia maboga

Asante zpuwawa! Nianzeje kumshirikisha? Nimuulizeje? Asijisikie vby
 
yeah, tunaporuhusu unene kutuvaa, tunaruhusu matatizo ambayo kimsingi yanakwepeka, fikiria unaposhindwa kumridhisha mpenzi wako unategemea nini? lakini wadada nao wanachangia katika upande wa pili maana kama hutakuwa msafi vizuri, mfano unaweza ukaona u msafi lakini ukasahau msuguano mtakaoufanya utapeleka kuzalishwa kwa harufu flani ambayo inaweza ikampelekea mtu ulie nae kukwazika na hapo akajikuta hamu ama perfomance inakwisha kabisa, watu wa pwani wanapojifukiza ama kufukiza uturi vyumba vyao kabla ya kukutana na watu wao huwa na sababu, mfano mimi napenda sana chumvini kama sijazama chumvini bado sijamduu dem sasa nikimkuta na kaharufu flan either cha jasho au kitu kingine huwa naahirisha zoezi maana najua nitacheza chini ya kiwango, wakati intetion ni kuona wote tunaridhika na tunafurahi.
 

Hapo kwenye bold; nimeamini kama ilivyoshauriwa na Miss Judith hapo juu kuwa kuzama jumvini nako kunachangia kuharibu mfumo wa kiutendaji wa mwanaume
 
Asanteni sana kwa maoni yenu ntayafanyia kazi. Khsu pombe my love hanywi wala kuvuta! Ila nahc ubize labda. Hv nianzeje kumuuliza kama anatatizo? Hv huwa anajickia vby kutoni do ninapohtaji na yy kushndwa?once again Asanteni kwa ushauri wa kunijenga

Lady G hiyo ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kushindea kudo na ukimuuliza ndo umekata stimu yote cha kufanya usimuulize wewe mpe maraha fulani hivi na kumuonyesha kuwa unataka mdo ze nidifuli ukimwambia tu hata kama imesimama lazima ilale ataona soo la mwaka
 

Hapo kwenye bluu ndo pamsingi sana usimwambie hiyo kitu atakuwa hasimamishi kamwe akiwa na wewe
 
Asante zpuwawa! Nianzeje kumshirikisha? Nimuulizeje? Asijisikie vby

Usimuuulize kitu wewe tenda tu kama unataka kudo nae mambo ya kusema sema nayo sometime si poa sana yanakata sitmu Lady!!! Atasikia aibu sana na stimu itakatika automatically!!!
 
halafu ni vijana wadogo tu wa under 40 wanasumbuliwa kweli ila hawasemi, nimewahi pia kusikia simu zinachangia kupunguza nguvu za kiume, kwa wanaoziweka mfuko wa suruali au zinawekwa kiunoni kuna ukweli hapo?
 
halafu ni vijana wadogo tu wa under 40 wanasumbuliwa kweli ila hawasemi, nimewahi pia kusikia simu zinachangia kupunguza nguvu za kiume, kwa wanaoziweka mfuko wa suruali au zinawekwa kiunoni kuna ukweli hapo?

VISINGIZIO tupu hakuna ukweli hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…