Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 929
hilo tuko la ngono dadangu paerformance yake iko katika akili zaidi ya mwili. japo hujasema ana umri gani, lakini kama ni under 40, that performance level is too low. ila inawezekana mwenzio ana depression/stress, hofu, feelings of inferiority, low self esteem, nk. matibabu yake yaweza kuhusisha counselling, baadhi ya vitamin kama C na D, madini kama zinc, calcium, magnesium nk, vyakula vya protein nk.
kuna wanaume wakiwa na hali ngumu ya uchumi huwa wanashuka performance kwa kuhofia mwanamke atashindwa kumuelewa, pia kuna too much exposure ya mwili wa mwanamke na pornography vinavyosababisha mwanaume asipate hisia muwapo pamoja. kama ana tabia za kuzama chumvini au tigo nk, jihadhari sana vinachangia sana hali hyo kwani vinapunguza hisia zake kwa kuuchukulia mwili wa mwanamke kama kamtambo fulani hivi.
kuna hata ambao wanalala na mwammke lakini anapata ogrgasm baada ya kuvuta kumbukumbu ya pornography fulani aliyokwishaiona huko nyuma na sio kwamba mpenzi wake ndiye aliyemfikisha orgasm. hapo ni sawa na kujichua kwa kutumia mwili wa mpenzi wake. wenyewe wanaita "kudownload"!
pia baadhi wanawake wenzangu huwa hawataki kuwapa nafasi wapenzi weo wajisikie kuwa ni wanaume (i hope wewe si mmoja wao) yaani mwanaume akianza kujibaraguza tu unasikia, siku hizi haki sawa babu nk, hii inadhofisha na hatimaye inaua kabisa ego ya kiume. it works in the same way as most ladies hapa utasikia nampenda mwanaume ambaye ni caring etc manake if he is not caring inaua some senses of femininity na general performance yako pia itashuka. bahati nzuri au mbaya ni kuwa kimaumbile, mwanamke akishuka performance unaweza usigundue kwa kuwa maumbile yake hayahitaji erection kabla ya tendo ingawa anahitaji kuwa wet and juicy which is easier to achieve than orgasm. ukichunguza matatizo ya wadada kutofika kilelelni huchangiwa pia na perforamance zao kushuka na sio kila mara huwa ni kushindwa kwa mwanaume